masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Spunda, hapo nimekuelewa, ati sera za ubwawa za Spunda....!Anaitwa.....
Hashim Rungwe Spunda...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina lake tu mimi huwa hoi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23]Spunda, hapo nimekuelewa, ati sera za ubwawa za Spunda....!
😡😡😡
Usichokipenda wewe, kuna watu wanakipenda.Ni vyema kufatilia na kuzijua sababu zinazoweza kupelekea chama kufungiwa kabla ya kuropoka hapa, hii inatufanya tukuchukulie Kama kiazi tu.Huyu Rungwe anawadharau watanzania kwa kuwaona wananjaaa ya ubwabwa chama kilitakiwa kifutwe hakina sera wanakula ruzuku
Ameshasema watu wasihangaike na ndizi, pilipili sijui vijiko, kila kitu utakikuta huko. Anasema sera zake ni sera zinazotekelezeka, siyo sera za ahadi.Huyu jamaa anaanza lini kampeni na wapi? ili ninunue kabisa ndizi mbivu na pilipili, nikajipatie sahani yangu ya ubwabwa
Hahah Ila huyu jamaa inabidi anogeshe kampeni kwa kuweka sahani kadhaa za ubwabwa kwa wachache watakaowahi, ili kuongeza mbwembweAmeshasema watu wasihangaike na ndizi, pilipili sijui vijiko, kila kitu utakikuta huko. Anasema sera zake ni sera zinazotekelezeka, siyo sera za ahadi.
ncha mbili hizo.chauma wapo sahihi kuna walisema kilimo kwanza kuna tz ya viwanda.Asante mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1553922
Hahaha! Kilikungisi all the way.Napata picha ya gusahani gwa UBWABWA[emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi wewe ukiambiwa nipigie kura ili ule ubwabwa wa bure, mtu huyo anakuchukuliaje?
Nawe kweli utampiga, nawe tukuelewe vipi ?
Kuna sehemu nyingi tu sera za ubwabwa haziuziki!..Hashim Rungwe ameshindwa kutafuta namna bora ya kufikisha ujumbe wake kwa wananchi.
..lakini ni ukweli kwamba kuna tatizo la LISHE ktk kaya nyingi hapa Tanzania.
..wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na kampeni ya "MTU NI AFYA" na suala la lishe lilikuwa moja components za kampeni hiyo.
Wenye akili lazima watashtuka mapema, hasa sehemu ambazo njaa hakuna kama Mbeya.Kuna sehemu nyingi tu sera za ubwabwa haziuziki!
View attachment 1554827
Ukiwaona watu kwenye kampeini zake wanakuja kula ubwabwa kuna picha fulan hiv ww kwa akili yako ndogo uwez kuuona maana yake watunwana dhiki hata za vyakula majumban mwaoMwalimu aliwahi kusema, mtu akikuambia kitu cha upuuzi, nawe ukajua ni upuuzi na usichukue hatua yoyote, mtu huyo amekudharau sana.
Hiki ndicho Rungwe anafanya, kuwadharau Watanzania na sera za ubwabwa.
Kuna sehemu nyingi tu sera za ubwabwa haziuziki!
Watu wanamwona huyu Spunda ni msanii tu, akawatapeli waswahili huko Dar!
Hapo ni Ilomba, Mbeya.
View attachment 1554827
Mtu akikununua kwa sahani ya ubwabwa wewe ni wa kudharaulika sana.Ukiwaona watu kwenye kampeini zake wanakuja kula ubwabwa kuna picha fulan hiv ww kwa akili yako ndogo uwez kuuona maana yake watunwana dhiki hata za vyakula majumban mwao
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app