Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante sana muheshimiwa kwa kutuweka wazi....Hamjui rungwe anaongea tuu, rungwe hana shida hata kidogo, huyo alishakua na pesa toka kitamba mpka serikali ya mkapa ikamletea figusifigusi hao ndio watz wa kwanza kufungua yard za magari bongo ikiitwa bahari motors maeneo ya makumbusho na mpka leo hayo majengo yapo na ni mali yake, huyo hana njaa hata kidogo.
haya kesho nikukute kituo cha police kilicho karibu yako ukiulizwa sema mwakyindi kaniambia nijeNipeleke mahakamani
Ushewahi Kula nguru weye?Bahari la faida gani ? , People need fresh water ili waweze kunywa au kumwagilizia au hajui kwamba maji ya chumvi zaidi ya kumwaga chooni they are more or less useless ?
kupeleka bahari ndio kupeleka samaki / viumbe vya bahari ?Ushewahi Kula nguru weye?
Unaijua Bahari Motors iko hapo Makumbusho? Ni ya kwake. Mzee anatembelea range Rover ..Hiyo milioni moja ya fomu angetumia kuboresha nyumba yake anayoishi ingekuwa poa sana.
Usimchukulie poa mzee RUNGWE,Sidhani
Unapafahamu nyumbani kwake lakiniHiyo milioni moja ya fomu angetumia kuboresha nyumba yake anayoishi ingekuwa poa sana.
Ni jirani yangu, ana pesa tangia nakua mpaka sasa. Yard yake ya pili iko karibu na shule ya msingi makumbusho na ya pili nyoosha mtaa ule ule mpaka usawa/ karibu na Safina Hotel makumbusho. Miaka ya 2015 iliunguaga moto hii yard sijui kama alishairekebishaHamjui rungwe anaongea tuu, rungwe hana shida hata kidogo, huyo alishakua na pesa toka kitamba mpka serikali ya mkapa ikamletea figusifigusi hao ndio watz wa kwanza kufungua yard za magari bongo ikiitwa bahari motors maeneo ya makumbusho na mpka leo hayo majengo yapo na ni mali yake, huyo hana njaa hata kidogo.
Bora tu, tule ubwabwa, 😅😅😅Daaah huyu ndo Rais Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Tume haitoi pesa mzee babaUsimchukulie poa mzee RUNGWE,
Ni MWANASHERIA wa mahakama KUU.
Pia anamiliki yadi 2 za magari hapa mjin.
Ishu ya million kwake sio ishu,
Afu yeye Yuko kimkakati zaidi,
Anatoa mfukoni million 1 ya fomu,
Afu Anapewa Anapewa na TUME million 15 za kufanyia kampeni kumnadi mgombea URAISI.
Afu kampeni zenyewe ndo Kama hizi, hataki kujichosha kabisa[emoji1]
Mjini shule mkuu
Kwanini unauliza hivyo?Unapafahamu nyumbani kwake lakini
GOATmgombea wangu wa wakati wote. Viva Rungwe
Huyu mzee ni tajiri haswaa!Anamiliki mabasi ya Rungwe express,kama unayajua basi utajua ni mabasi luxury!Hiyo milioni moja ya fomu angetumia kuboresha nyumba yake anayoishi ingekuwa poa sana.
Sera yake ninayo ikubali ni akichaguliwa atahamishia ziwa Victoria Morogoro
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji116]View attachment 1536103
Vipi mwaka huu hana ile sera yake ya kununua mindege ya kumwagilia mashambani
Usimchukulie poa mzee RUNGWE,
Ni MWANASHERIA wa mahakama KUU.
Pia anamiliki yadi 2 za magari hapa mjin.
Ishu ya million kwake sio ishu,
Afu yeye Yuko kimkakati zaidi,
Anatoa mfukoni million 1 ya fomu,
Afu Anapewa Anapewa na TUME million 15 za kufanyia kampeni kumnadi mgombea URAISI.
Afu kampeni zenyewe ndo Kama hizi, hataki kujichosha kabisa[emoji1]
Mjini shule mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Tayari Kura yangu kapata
Huyu Mzee hajawahi kuniangisha,mwaka huu asifanye kampeni kwenye vituo vya mabasi