Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Rungwe alipoanza na hii sera yake ilikua kama mzaha Ila sasa it's an insult to our intelligence.
 
Naona watu washaanza kumuonea wivu[emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu ashinde mechi zake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakika. Watuachie mzee wetu, tunampenda kindakindaki
 
Hahahaaa nenda kwenye mkutano wake ulikemee hilo uone kama wananchi hawatakutoa nyongo! Katika wagombea uraisi kuna wengine wanaingia kupunguza msongo wa mawazo na wengine wanaingia kushindana

Usipoteze mda wako kufikiria anachokifanya mgombea ambae hajasimamisha wagombea ubunge lakini anataka kua raisi.
 
Huyu mzee anajaribu kuwasilisha ujumbe mzito sana kwa wananchi na watawala, labda tatizo ninaloliona ni fasihi anayotumia iko juu ya uelewa wa wengi ndio maana inatafsirika kama mzaha vile.

Huwezi kujisifu kwa madaraja, reli, mandege nk huku wananchi wanashindia mlo mmoja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakika. Watuachie mzee wetu, tunampenda kindakindaki
Huyu mzee anajaribu kuwasilisha ujumbe mzito sana kwa wananchi na watawala, labda tatizo ninaloliona ni fasihi anayotumia iko juu ya uelewa wa wengi ndio maana inatafsirika kama mzaha vile.

Huwezi kujisifu kwa madaraja, reli, mandege nk huku wananchi wanashindia mlo mmoja.
 
Nimesoma kwa makini humu ndani nimegundua kuwa wengi wanapenda kupakuliwa na Hashimu Rungwe Spunda.
 
Apa kazi Tu ebow kazi bila kula ata machine huwekewa oil na greas iliziweze kufanya kazi
 
Hashim Rungwe umri unamtupa mkono ndiyo maana ameanza kutamani vitu vya kitoto.

Kimsingi huyu anadhalilisha hadhi ya UPINZANI na kuifanya CCM ionekane iko makini.

Mada ya lishe mbona ni rahisi kuiongea siyo lazima ubebe ma hotpot ya ubwabwa.
Sio kila Mgombea lazima awe serious....
 
Kinachoniuma hua hatoi ratiba ya maeneo anayotembelea. Nashauri atoe ratib ya wiki nzima kwa sisi wafuasi wake tujue tunamkuta wapi boss wetu na mahotpot y ubwabwa
Subiri kampeni zianze
 
Huyu mzee anajaribu kuwasilisha ujumbe mzito sana kwa wananchi na watawala, labda tatizo ninaloliona ni fasihi anayotumia iko juu ya uelewa wa wengi ndio maana inatafsirika kama mzaha vile.

Huwezi kujisifu kwa madaraja, reli, mandege nk huku wananchi wanashindia mlo mmoja.

Kama inakuja hivi![emoji848]
 
Back
Top Bottom