" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia
shangiliaSasa sisi tukusaidieje?
Huna jipya kijana. Magufuli anaiteka Tanzania kwa aina yake. Kijiji kwa kijiji huku jamaa yenu mkimpaisha kwenye miji mikubwa tu na kuacha kura za vijijini. Mtaisoma namba.
You are not part of MOU kujua kila kitu. Hivi umesha wai fanya biashara kubwa wewe au unaropka tu. There is MOU to be signed, there is NDA to be signed, halafu unashangaa kwanini hupewi details? Ukwanites are very low in thinking.Amshawishi kujenga kiwanda. Just simple like that.
Hapa vipi Mr ChinYou are not part of MOU kujua kila kitu. Hivi umesha wai fanya biashara kubwa wewe au unaropka tu. There is MOU to be signed, there is NDA to be signed, halafu unashangaa kwanini hupewi details? Ukwanites are very low in thinking.
You are not part of MOU kujua kila kitu. Hivi umesha wai fanya biashara kubwa wewe au unaropka tu. There is MOU to be signed, there is NDA to be signed, halafu unashangaa kwanini hupewi details? Ukwanites are very low in thinking.
Magufuli sasa anasubiri kuapishwa tu.Hovyooooooo.......
Wewe endelea kupayuka na kulalamika tu.Ungejua kinachofanyika vijijini wala usiongeongea upuuzi wako hapa
Ni Magufuli kwa awamu ya Tano
Wewe ndi utakuwa wa kwanza kumuita Rais wa Tano.Mr chin, lbd kwenye famlia yenu aapishwe
Reading people comments here, makes me sick. Hivi kuna watu wenye akili timamu kweli? Utashabikiaje huu uozo wa CCM?? Think of your relatives and other millions of Tanzanians living in poverty.
Kweli, we have a long way to go.
Unashabikije fisadi mkuu????
Kura yangu kwa Magufuli 100%.