Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kiwango chako cha elimu kidogo sanaaa..diamond yupo lagos na ww unatuambia atakuwepo mbeya....mahaba mabaya sana
 
Unajua kukubali matokeo ni uungwana pia,kwani hadi sasa,anayetumia zake kichwani anajua rais ni magufuli,kwanza ni mtendaji,piliafya nzuri,tatu hana hela za marafiki,nne wizara alizopita kinaeleweka,nne ana raman ya vita yaani ilani,lowassa haelewi atatekekezaje majukumu maana hata dude ukawa halijui uje hiyo NGO ya CHADEMA kaingilia tamaa haijui kabisa,kwa hiyo kwa waliowengi ambao hawawezi bishana hadharan wanajua rais wao ni magufuli.
 
Sasa wewe Fox una mhadaa nani?Mtu anaweza tu kuwa fisadi kama ana mtandao serikalini.kifupi fisadi sarikali ina kuwa kama ame inuua.Lakini we Fox mbona mwenzako Msalani amejitambua na hayupo katika siasa zako za maji taka sasa hivi
 
Kiwango chako cha elimu kidogo sanaaa..diamond yupo lagos na ww unatuambia atakuwepo mbeya....mahaba mabaya sana

mkuu mkutano kesho anawezarudi hata leo au kesho akaunganisha otherwise labda utupe ratiba kamili ya diamond
 
mkuu mkutano kesho anawezarudi hata leo au kesho akaunganisha otherwise labda utupe ratiba kamili ya diamond

Mkuu diamond bado yupo lagos wanamalizia kurecord nyimbo zao na kurud nahis nikeshokutwa au kesho coz had video waandae ndo anarud
 
Reactions: aye
mtoa mada naona yupo kwenye usingizi wa pono hajui sasa ccm inaunguruma nchi nzima.
nyota naing'ale magufuli: tunakuombeaaa
 
Sasa wewe Fox una mhadaa nani?Mtu anaweza tu kuwa fisadi kama ana mtandao serikalini.kifupi fisadi sarikali ina kuwa kama ame inuua.Lakini we Fox mbona mwenzako Msalani amejitambua na hayupo katika siasa zako za maji taka sasa hivi

Mwambie hivi chadema walimtaja ili serikali iwachukulie hatua...MBONA CCM INALALAMIKA JUU YA MAFISADI NA HAKUNA HATA MMOJA ALIYESHTAKIWA?
 
Hapa kazi tupu kumkubali magufuli.
 
Naona umeamua kujitoa ufahamu makusudi sababu ya posho ya sh 7000/-za lumumba
 
NI KAZI NGUMU SANA KUMNADI MAGUFULI, MTU ALIYEPO KWENYE SYSTEM YA CCM ILIYOTUONGOZA KWA MIAKA ZAIDI YA 50,NA BADO WANATOA AHADI ZA UONGO NA WANAIBA FEDHA NA MALI ZA UMMA (NA USHAHIDI UPO ILA CCM WANALINDANA)....Wananchi Tumeichoka CCM.

Hizo pesa za kampeni zenyewe ni za kifisadi
 
sasa ivi ccm hawapigi kampen za kusema chagua ccm hata ktk mabango yao hawaweki chagua ccm wanajificha nyuma ya maguful eti chagua maguful........ its so comforting to know ccm sasa ivi ni kama umetaja gaid au haini flan wenyewe wanalikwepa kulitaja jina ccm!!!!!
 
KWA KWELI HUJITAMBUI AMA UNALAZIMISHA KUTOUTAMBUA UKWELI,Lowassa ndo kazi kumnadi kuliko yeyote,kwakuwa ana utitiri wa.kashfa za ufisadi unadhani baada ya nyie kuzipaka mafuta ndo harufu yake hatutaisikia?magufuli ni kizuri chajiuza,lakini lowassa ajitembeza soko kwishaaaa kwa ufisadi
 
Mkuu mbona ni ka kikundi ka wahuni kama 50 hv🙂
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi..

Kutokana na imani waliyonayo watanzania na kumbukumbu za kazi alizofanya Lowassa ni Kazi nzito kumnadi Magufuli na uccm wake.

Ndio maana wamepigwa upofu wakabandika mabango wa ugumu huo ktk matangazo kuwa HAPO WANA KAZI.

Mkuu, tukiachana na ushabiki na mengine, hivi ni kazi zipi za maana alizofanya Lowassa? Ni kipi kinachomfanya awe na sifa za kuwa Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…