Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mkuu mkutano kesho anawezarudi hata leo au kesho akaunganisha otherwise labda utupe ratiba kamili ya diamond

si uende kwenye twitter yake,utajua movement zake,
sasa jitu zima kutunga mambo ya ukisebengo,tena asubuhi asubuhi maana ake ana kasoro
 

Asante sana mdau una maono sana
 
Kuna wakati nafurahi kuona mnavyong'oka lakini kuna wakati nawaonea huruma mnavyohangaika (najua kiumbe kinapokata roho lazima kitapetape sana). Mwaka huu mtaongea yooote mmalize laikini kichapo kipo palepale.
 
Ni wakati wa kumpa ushindi Dr Mahufuli, ushindi wa kishindo.
 
Kwa wenyekutumia macho wataona wenyewe uthaifu wa AFYA YAKE NA KUTOWEZA KUJIELEZA ILA KWA WANAOTUMIA MOYO KUANGALIA HAWATAONA
 
Ccym ndo waongo ndo wanavyotutangazia mitaani kuwa diamond na wasanii wengineo watakuepo,hii inadhiirisha iongo wa ccym kwa wananchi.
 
Mi ningekuelewa ungesema ni sawa na kisubili ndege bandarini , ama kusubili mengi tazara kila mmoja pale Lumumba anajua hilo ndio maana Nkapa kaanza matus asubuhi
 
Lowassa nikimtazama sasa hivi nnakumbuka habari alizokuwa anatupa Andrew Nyerere za ma robotoid.

Yaani amekaa hana impression wala sura yake haina "emotions" zozote, hacheki. Amekaa ni zezeta.

Pesa ni majaribu makubwa sana, wachagga wameuza utu wao kwa pesa.
 
Last edited by a moderator:
U
Acha utoto wewe!
 
Heading and topic contents do not look alike sir!! Kajipange upya uje tena
 
Inaonesha jinsi gani CCM ilivyopoteza mvuto badala ya watu kumjadili mgombea urais wanamjadili msanii. Ni dhahiri watu wanafuta show za wasanii
 
Mkuu Dodoma Kuna kiwanja kipi cha ndege?? Kile kiwanja mdogo sana haukizi haja.. ule ungefaa uwe wilayani Siyo mkoan..
 
Wana mbeya muulizeni awape majibu, miaka 54 ya sera zimetosha!
 

















ccm's loyal voters katika mji mdogo wa mbalizi mkoani mbeya waki show love kwa rais magufuli
 
Apambane,JPM kakimbilia kwa wataalamu wa kutengeneza Mafuriko
 
Ngoja nkutukane kabla ya tarehe 1 coz unaboa na kutia kichefuchefu, acha umbea mavuzi ya mbwa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…