Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Machata ni kitu gani ili tuielewe vizuri habari hii, maana nashindwa kuoanisha vurugu na gari la sugu!
 
sijaona la ajabu pale na bado aliongea sana tu , acha tumubiri Rais Mamvi katika ubora wake wa kuzunguka Tanzania
 
Namshangaa kwa kujishangaa! Maana nae ni sehemu ya serikali
 

Sio yeye tu kuna muigizaji mwingine ambaye ni huyu Lowassa huyu alikua serikalini kwa miaka 35 na amewahi kuwa waziri mkuu leo anakuja na ndoto za kuondoa umasikini......wizi mtupu
 
Si walikuwa wanasema Mzee wa mafuriko ndio mgonjwa selule kumbe na huyu ndugu naye ni yaleyale?
 
Kwenye ishu ya ugonjwa,hasa sisi waafrica hakuna mwenye uhakika wa afya yake 100%,el na jpm tuwapime kwa mambo mengine,pole magufuli ila usimbeze el kwenyw issue ya afya kumbuka hata jk aliwahi kudondoka lkn bado akaongoza nchi 10 yrs
 

Hapo bado lile Tawai la Lumumba linaongozwa na jaji Lubuva NEC hawajamtangaza Rais, 25 Oktoba akisikia Lowassa ndio kashinda urais siatakufa kwa presha. Tuna muombea mungu apone haraka aje ashindwe kwa kura sio ugonjwa au kuingia mitini kwa kisingizio cha ugonjwa

cc:Lizaboni FaizaFoxy Ritz
 
Tunamtakia kila la heri apone arudi uwanjani, hatumtaki mgombea anayepita eti bila kupingwa. Ushindi upatikane kupitia sanduku la kura na si mezani na mapambano yafanyike uwanjani na si wodini. Get well soon Magufuli, UKAWA hawana haraka watakusubiri wakupe vidonge vyako.
 
Hiyo ni sauti, vipi zile 'battery' zikiwa low?
 
Mgonjwa halisi kaumbuka..tulisema ni mgonjwa na alienda kupata kikombe cha babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…