mchimba kaburi atatumbukia mwenyewe,
wanamwombea lowassa mabaya usiku na mchana, mpaka wakaleta wapunga majini, waseme kunamgo,bea mzee ataanguka jukwaani na kufariki,
sasa yanawarudi wenyewe?
Hakika Mungu mkubwa lowassa ataendelea kudunda kwa sababu Mungu yupo upande wake,
waacha hawa waendelee na wapunga majini yao yatawarudi wenyewe,
Magufuli anafaaa sana Lowasa kaa pemben
Hiyo ni sauti, vipi zile 'battery' zikiwa low?
Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?
Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.
Kumbuka hilo.
Tunaomba serikali ikuchukulie hatua kali. wewe mwenye kuandika haya.
Wana ukawa nimependa mentality yenu ya kutanguliza utu kwanza na kumpa pole magufuli badala ya kuchekelea na kumkejeli kama wana Ccm wanavyofanya kwa Lowassa
Sasa hapo ndio utajua tofauti ya wapumbavu,malofa na werevu kina Ben Mkapa
Wameanza
Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10
Nimekua nikiifutilia ziara ya magufuli kuanzia jangwani wiki inayomalizika,vijiji kadhaa vya mikoa ya nyanda za juu kusini simbawanga,katavi na hii mbeya na watu wengi wamekua wakimfuata naona ccm Ni kama tayari imeshashinda urais
Picha za kompyuta tu hizo wamechanganya na za mauji ya Arusha
Tunaomba serikali ikuchukulie hatua kali. wewe mwenye kuandika haya.