Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Tarehe 25 mtazikwa rasimi na tingatinga lenu hilo fake.

pole sana
kamwe ikulu sio pango la wagonjwa na mazezeta ataongozaje nchi yenye wasomi na vyombo vya dora ,kamwe taifa haliingi choo cha kike.
 
tatizo la ccm kamuulize lowasa miaka 35 akiwa ndani ya ccm alipofanyia wizi tangu akiwa mkurungezi wa icc arusha ,


Sasa kumbe unajua wizi unafanyikia wapi, je tuna sababu ya kuendelea chaka la wezi? Ukitaka kuhamisha mateja mtaani, ondoa majumba mabovu.

Swali dume ni kwamba: Kama ni mwizi, mbona hachukuliwi hatua?
 
Viongozi wanashangaa na kulalamika,wengine wakiulizwa kwanini nchi maskini wanasema eti nao hawajui kwanini,kinachotakiwa ni kuweka wagombea wanaotoka kwenye vyama vyenye watu wasioshangaashangaa make siku zote mtu anayeshangaashangaa uambulia kujikwaa na hatimaye kuanguka,ccm inashangaashangaa hivyo imejikwaa inasubili kuanguka 25/10
 
Namtakia afya njema Magufuli. Ila kura yangu ni Ukawa. Mungu akuponye kwa haraka
 

Hilo mkuu hata yeye mwenyewe analijua kuwa Watanzania wanamkubali ila Chama chake kiukweli watu wamekichoka. Na ndiyo maana anatumia mfano wa China. Unajua hana namna ila ingekuwa uwezo wake angebadili hata jina la Chama kutoka jina CCM na kuita jina jingine angalau watu wangemfuata huko. Ile tone CCM watu ndo wameichoka, na hapo namuonea huruma, kama akishinda atakuwa ametumia calories/energy/msuli mkubwa jambo ambalo kwa kukubalika kwake haikupaswa iwe hivyo.

Mfumo aliomo ndo tatizo, Dr yeye binafsi anakubalika, chama chake watu ndo wamekichoka. Kama wakivuka salama mwaka huu itabidi jina la chama hata rangi wabadili ili angalau kuwasahaulisha wananchi, huu ni ushauri wa bure kwa CCM, badili sera, mitazamo, mavazi, mfumo na kila kitu ili wananchi wawakubali, hali ilivyo kwa sasa wananchi jina limewakinai na huo ndiyo ukweli, only for those who think broadly and globally can undetstand this fact!
 
Asifanishe na China, China wezi wananyongwa haijalishi una cheo i'la tz wanaongezwa vyeo au kubadilishiwa majukumu kumbe hana nia nzuri ya kututoa tulipo

Au Unahama Chama na kujiita Mkombozi na mleta mabadiliko!

​
 
Utampa kura wewe na mkeo mnaolala na kuamkia ccm.

niukusaidie mkuu tafuta coment zangu tangu mchakato hapo nyuma ndo utajua mimi ni nani,
nilikuwa huko lakini mamkubali sana magufuli na slaa,
na kama walimtoa slaa niliondoka nae walimuondoa slaa nikabaki na magufuli na waliofanya unyama huo wataisoma namba,

 
magufuli ndo rais wetu hatutaki majizi yanayojibadirisha rangi kumbe ni majizi tu,

Povu lote la nini? Tulia basi tuamue watz wenyewe. Kama ni jizi tutajua hiyo Oktober 25.
 

Ala kumbe kumjua Mungu ni mpaka Uwe na dini ??? Aliyekuambia Mgombea wangu ni Magufuli ni Nani ???
 
Hivi kumbe CCM ni chama cha KIJAMAA, tehe tehe tehe! Wajamaa wanalamba posho huku wajamaa wengine wanatibiwa chini ya mti
 
Ccm tunasonga mbele,ukawa wamekuja mbio baada ya kuona heading,hahaaaa mtoa mada umetisha.
 
Magufuli mgonjwa,Ye anaongea dakika 30 anafikiri mikutano ya kampeni.ni.mitano tu,mikutano ni zaidi ya 180 ndani ya siku sabini
 
Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10

Mbona alipimwa kwa kupanda kwa miguu hadi ghorofa ya 7 wakati anarejesha form ya kugombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…