Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

tumechoka maneno yakujitungia na yasiyo na hakika,ni lazima sasa watanzania tuwe watu wakutafakar kiongoz gan anafaa na si kumponda mtu kwa kutengeneza maneno.kwenye kweli tuseme kweli,ni vyema zaid kama wewe ni mtanzania tafakar na uone wewe mwenyewe je ni kiongoz yupi anakufaa na si kutumia cm kutengeza maneno kwa wagombea.sema kwel kwa manufaa ya wengne,
 

Kwendaaaa mavi weweee😂
 
mkuu umetoa hadithi nyingi tunahitaji mabadiliko ya kweli sio mvinyo ule ule kwenye chupa mpya hapo hakuna kazi ni usanii .
 
kwa style hii ajenda ya ccm kuhubiri ukanda ili kutugawa haina nguvu hata kidogo.
 
Shuka ikulu zikatafute nn? Safari ya lowassa ni kuongeza wabunge ukawa,hata yeye lowassa muulize hili analijua!
 
Ndo ameanza kuwatisha watanzania na mifano mfu ya Libya!, hapa hatudanganyiki tunajua waliomtoa Gadafi ni UN baada ya kuona Gadafi ameanza kuua wapinzani wake. Ni vema akatoa mifano inayohusu uchaguzi huru ktk nchi za africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…