OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Kiukweli. Mbeya ni chadema huwambii kitu. Kuna vijana kadhaa wakiwa na bendera za CCM toka mkutano wa maghufuri wakawa wanaropoka eti hela wamekula na sasa wanatafuta sehemu ya kuchomea hizo
bendera
Teh teh teh...
Mkuu upo?
Khaaa!! Kumbeee. Bora umenitoa ujinga :glasses-nerdy:mkuu umekosea ukawa ipi? ukawa ilikuwa ni ya slaa na lipumba tu sasa ni chadema tu,waulize miaka 35 amefanya nini serikalini lowasa,
View attachment 281669Kweli ilikuwa shida mkuu, gamba we pitia na hapa uangalie hii video jinsi ilivyokuwa shida MbeyaKwa Mbeya mjini hata kupita speed hamsini ni shida.
Hivi Maendeleo ya Monduli,yakoje?Maana Mbunge wao anataka urais
MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA
Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,
Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.
Shikamoo mama Samia;
Hajafanya lolote la maana zaidi ya kuandaa sherehe siku za sikuku la kuwanunulia nyama na wali basi zaidi ni yeye Lowasa kujilimbikizia mali.Hivi Maendeleo ya Monduli,yakoje?Maana Mbunge wao anataka urais