Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Ukiitazama hiyo picha kwa makini utaona nguo zenye rangi ya kijani na njano ni chache mno...

Kawaida ya wanaCCM kwenye mikutano ya kampeni hupendelea mno kuvaa sare za chama chao...

Kwa mtazamo wangu hapo wengi ni wananchi wa kawaida tu waliohudhuria kusikiliza Magufuli ana lipi la kuwaeleza...

Mkutano wa hadhara wa kampeni za ccm ndani ya uwanja wa maji maji songea,dkt John Pombe Magufuli alihutubia na kumwaga sera zak
 
Hivi huyu mtu badala ya kuwaeleza wananchi jinsi atakavyo saidiana nao kuleta maendeleo amebaki kupiga kelele kuhusiana na UKAWA. Hii ni dhahiri kwamba hana chakuongea wala cha kuwaoffer watanzania. Mwenzio anapiga nyumba yake rangi nyeupe wewe umebaki kupanua mdomo na kusema rangi nyeupe haifai wakati nyumba yako yenyewe haina hata rangi.
 
ikungi

Nimemdharau sana Magufuli jana..Ile iliyozinduliwa jangwani ni Ilani ya bibi yake? Badala ya kuongelea mambo y a chama chake na vipaumbele vyao 38 yeye anaanza kusema UKAWA hawana ILANI huyu mzima kweli huyu?

Kufungulia magaidi na babu seya ndo ilani ya chama? Hebu nipe elimu kidogo jombaaa
 
Last edited by a moderator:
ni kweli ukawa hawana ilani ya muunganiko wao isipokuwa kila chama knachotengeneza ukawa kna ilani yake.
 
Somba somba
 

Attachments

  • Screenshot_2015-09-01-04-35-18.png
    196.2 KB · Views: 354
Inaonekana hujawahi kufika Songea. Huo ndio uwanja wa Maji Maji. Mimi sio CCM kama wewe lakini pia uongo sipendi. Taifa kwanza, ushabiki wa vyama baadaye.

Kweli ni Songea maana hadi Wanafunzi waliotolewa mashuleni nimewaona..... Angalia vizuri utaona uniform!
 
Hii picha ni ya dar..tumeishaiona humu siku nyingi.tusipende uwongo.mimi ni ccm lakiniuwongo sipendi
Acha kuweweseka wewe, lile jukwaa la Mpira siyo lile la dar, halafu Dar wengi walikuwa wamevalia kijani, hapo ni Songea, mtaisoma namba.
 
Mkutano wa hadhara wa kampeni za ccm ndani ya uwanja wa maji maji songea,dkt John Pombe Magufuli alihutubia na kumwaga sera zak

Hawa ndio wanaccm mamluki,ina maana hukuona hata hicho kituo cha BRT kule nyuma,mtuache na ccm yetu
 
Ma CCM bhana cjui yakoje!!
Halafu haya yanayojidai mtaisoma namba hayajui hata huwa magufuli anaongea nini, kitu gani kinafanyika! Wao ni kupenda umbea umbea tu..
"Ama kweli kuielimisha mi Tanzania, ni sawa na kuielimisha mi wenda wazimu" ccm ccm kibwege -----.. Sijui inafurahi kuendelea kukatiwa umeme! Kulipa kodi kubwa ya bidhaa, nauli kupanda na thamani ya pesa kushuka!!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hapa ni songea kiukweli MAGUFULI kaongea vizuri tu nahaja mtukana mtu nahajabaguwa mtu.ila mwigulu kasema mgombea wa ukawa ni wakuanikwa asubuhi mchana wanamwopoa wakati wapiga dili watakuwa wameshapiga dili.
 

mnawaelimisha waache kukumbatia ccm yenye viongozi wabovu wakati wabovu wengine mumewakumbatia cdm tena wao ndio wabovu zaidi maana ndiowalikuwa watendaji wakuu wa hii nchi yetu. nani tumlaumu kama cyo mawazili wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…