Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Amekumbuka alivyozima kusini naona madamtari wamekataza.
 
Amefanya hovyo na maovu mengi kwa watu sasa ni wakaati muafaka kwa watanzania kumuonesha kwamba hawamtaki.
 
Nini kifanyike (way forward)?
 
Chama tawala katika kampeni hizi ndio kimehodhi vyombo vyote vya habari, mabango nchi nzima na wasanii wa kumwaga.

Jambo la ajabu timu yao ya kampeni ndiyo inatetemeka na kukosa formation ya wakifanyacho hadi kujikita kufanya faulo wakilindwa na vyombo vya dola.

Sasa hivi hata ilani yao wameitupa ni kudandia dandia Sera za vyama vingine.
Polepole na Bashiru kila mtu kivyake.
Wanakwama wapi?
 
Mkuu hakuna anayetetemeka, siku tatu Rais Magufuli amepumzika nyumbani maana ushindi ni ni uhakika zaidi ya 95%

Upande wetu Chadema hali ni mbaya tumeamua tusombe watu
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Yawezekana hata mia mkuu kwa sababu ya wakurugenzi ni ccm
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.

Wasiojgeomba msaada kikosi cha reserve cha akina Sumaye na Makamba maji yanaelekea shingoni bado kuzama tu sasa hivi subiri wataanza kulaumiana wao kwa wao
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mwambie aache kutumia wasanii katika kampeni uone maajabu
 
Lini makamba na sumaye wameambatana na Rais Magufuli
Hao wanaongea kwenye majimbo yao tu
Wasiojgeomba msaada kikosi cha reserve cha akina Sumaye na Makamba maji yanaelekea shingoni bado kuzama tu sasa hivi subiri wataanza kulaumiana wao kwa wao
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Kwa wizi wa kura inawezekana. nje hapo ni chali mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…