Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtendee haki St Dominic hakua na matusi. Usichezee Watakatifu wa Mungu.Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Amefanya hovyo na maovu mengi kwa watu sasa ni wakaati muafaka kwa watanzania kumuonesha kwamba hawamtaki.Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.
Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.
Nini kifanyike (way forward)?Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.
Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.
Duh! Huna aibu aisee!Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Haya fanya sherehe huko uliko.Ndio
Duh! Huna aibu aisee!
Mwanao alisombwa eeh🤔?Usidanganyike na mikusanyiko ya wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wanaosombwa na malori.
Ile Ikulu ya uani pale Chatto?Magufuli hawezi kuacha ofisi muda wote. Yeye bado ni rais na mtumishi wa watanzania na sasa yuko ikulu anafanya kazi za watanzania
Akimaliza hapo atarudi ulingoni kutetea kiti chake
Yawezekana hata mia mkuu kwa sababu ya wakurugenzi ni ccmKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Yawezekana hata mia mkuu kwa sababu ya wakurugenzi ni ccm
Kwani Msigwa ni mccm? Huyo ni Hamfre Chakubanga bosi wenu anayewalipa buku Saba hapa.huyu kafanana na Msigwa
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Mwambie aache kutumia wasanii katika kampeni uone maajabuKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Wasiojgeomba msaada kikosi cha reserve cha akina Sumaye na Makamba maji yanaelekea shingoni bado kuzama tu sasa hivi subiri wataanza kulaumiana wao kwa wao
Kwa wizi wa kura inawezekana. nje hapo ni chali mapema.Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.