Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kiukweli lissu yuko juu sana.magu hata kizungu hajui...
Unaona sasa akili za wafuasi wa lissu,kwa hiyo kwa sisi tusiojua kingereza mbele za lissu ni taka taka? Kwanini atuombe kura,si akawaombe wazungu wenzie huko ughaibuni?

Lissu hafai hata kidogo.
 
Lisu yupo juu ya Magufuli. Acha kulinganisha Lisu na taka taka.
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
 
Mwambie mgombea wako akubali mdahalo!! wahojiwe live mbele ya vyombo vyote vya habari vya nje na ndani wiki moja kabla ya uchaguzi.
 
Kuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.
Sera ya majimbo msiifafanue kiwepesi hivyo.Kutakuwepo na mikoa itakayofanyiwa balance kulingana rasilimali za mahali husika.Dar kwa mfano lazima itatoa zaidi kwa federal goverment zaidi kuliko mikoa mingine
 
Mimi naona Lissu yupo juu zaidi ya Magu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Lazima uwadanganye wananchi wakuamini, ila yote anayoyaongea hatoyafanya kama ikitokea miujiza akaingia madarakan, huwezi kujiua mwenyewe, yan awe madarakan afu abadirishe katiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maybe enzi za ukawa sio kwa CHADEMA ya mbowe
 
kwenye hili kwa kweli Lissu kakosea sana kujishusha kiasi hiki cha kujilinganisha na mtu wa aina hii ambaye hata kwenye chama chetu cha kijani tumempachika tags za "mshamba", "mbinafsi", "mwenye upendeleo", "mkabila", nk.

but anyways, Lissu ni mtu humble sana, hapendi kujikweza!
 
Mwambie mgombea wako akubali mdahalo!! wahojiwe live mbele ya vyombo vyote vya habari vya nje na ndani wiki moja kabla ya uchaguzi.
Unafanyaje mdahalo na mtu kila saa analialia kapigwa risasi 16,tunajua hana jipya la kutuambia Watanzania!!
 
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
Mi nasema usimlinganishe lisu na mdesaji
 
Unaona sasa akili za wafuasi wa lissu,kwa hiyo kwa sisi tusiojua kingereza mbele za lissu ni taka taka? Kwanini atuombe kura,si akawaombe wazungu wenzie huko ughaibuni?

Lissu hafai hata kidogo.

Kuna mtu alipata kuandika kwamba kama hujui utawala basi usitafute nafasi ya uongozi. Vivyo hivyo kam
 
Hiyo ilishachuja tafuteni nyingine si mlisema Chadema imeuwawa na Magufuli hahaha!!
CDM ya mtaani ilisha kufa siku nyingi sana,Sasa hivi imebaki CDM ya Mitandaoni nayo inapumulia oxygen baada Uchaguzi kwisha nayo itakua chali, Mbeligiji atarudi zake Ubelgiji akatulie na Mabeberu wake na watampa kazi za kutunza vizee vya Ulaya!!
 
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
Wakiitwa watu wenye akili usiende, bichwa lako ni kasha tu, una kaswende ya ubongo.
 
Mdahalo unategemea umaarufu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…