CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hiyo Phd yake alisomea wapi huyo mzee,
Sisi phd holders tunaona aibu aiseeeee
Wewe ndio huna uwezo na uelewa wa mambo. JPM anasema huu mfumo hata wakoloni walikuwa nao,Nyerere akaona haufai, sasa tuna taifa moja. Taifa ambalo kila mkoa, wilaya hadi kata inafaidi pato la taifa.Leo anasema Majimbo yataleta ukabila wakati juzi alikuwa Mara(Bunda) alisema hawana maendeleo kwa sababu walichagua upinzani nani mkabila Kati ya Lissu ambaye anataka watu waamue maendeleo yao kupitia majimbo sio kujitegemea Serikali kuu na yeye anabadilisha matumizi ya pesa na kuzipeleka kwenye matumizi mengine kwa jinsi anavyotaka.
Majimbo yataleta ukabila wakati anachukua pesa ya ujenzi wa uwanja wa ndege Kigoma na kupeleka Chato mkabila hapo nani happy Kati yake na Tundu Lissu nchi hii kila mkoa una rasilimali za kutosha watu waachwe waamue maendeleo yao na wawe na say ya kumfukiza mtu yeyote kazi ndio hoja ya Lissu.
Eti anasema Serikali za Majimbo zitachelewesha maendeleo wakati CCM kila kukicha inagawa mikoa,Walaya na kata na kupanua matumizi ya wafanya kazi badala ya kupeleka pesa kwenye maendeleo.
Magufuli asaidiwe kujibu hoja za Lissu maana uwezo wake kujibu hoja ni mdogo mno.
👊👊kinachoifanya ccm iendelee kuwa hai ni kukosa elimu kwa watanzania, imagine mtu anasema majimbo yatatugawa na watu wanamshangilia!
yatatugawa vipi sasa?
yani ukitaka kumtawala mjinga mnyime elimu
AKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.Salaam
Jamaa hanogi kabisa kumsikiliza yaani havutii kabisa na hii yote ameyataka mwenyewe.
Hunawezaji kukaa miaka 5 bila kuongeza mshahara !!! WE NANI HASA ?
Hunawezaje kukaa miaka 5 bila salary increment?? WE KAMA NANI HASA ??
Hunawezaje kukaa miaka 5 bila ajira mpya ??
UNAJIAMULIA KAMA NANI HASA ?
Hunawezaje kufukuza watu ovyo kazini bila fidia ?
Walimu lukuki hawajapandishwa madaraja tangu 2014/2015 walioajiriwa na JK.
Na mengine mengi.......
ILA JAMAA ANA ROHO MBAYAAAA SANAAA AISEEE HUYU AKISHINDA HATOKI MADARAKANI.
WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA WATANZANIA WENZETU WALIOUMIZWA NA SERIKALI HII TUIKATAE JUMLA JUMLA ILI KUWAENZI NDUGU ZETU KAMA AKINA AZORY NA BEN SIR8.
AKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.
IQ yake yenyewe ipo chini kujenga hoja ndio ataweza ? Uliza waliosoma nae katoke seminary kabla hajafukuzwa , baada ya kuvunja dirisha , wakueleza darasani alikuwa anashika namba ngapi ucheke Mpaka mbavu ziume.
MAGUFULI AMEIPA CCM WAKATI MGUMU SANASalaam
Jamaa hanogi kabisa kumsikiliza yaani havutii kabisa na hii yote ameyataka mwenyewe.
Hunawezaji kukaa miaka 5 bila kuongeza mshahara !!! WE NANI HASA ?
Hunawezaje kukaa miaka 5 bila salary increment?? WE KAMA NANI HASA ??
Hunawezaje kukaa miaka 5 bila ajira mpya ??
UNAJIAMULIA KAMA NANI HASA ?
Hunawezaje kufukuza watu ovyo kazini bila fidia ?
Walimu lukuki hawajapandishwa madaraja tangu 2014/2015 walioajiriwa na JK.
Na mengine mengi.......
ILA JAMAA ANA ROHO MBAYAAAA SANAAA AISEEE HUYU AKISHINDA HATOKI MADARAKANI.
WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA WATANZANIA WENZETU WALIOUMIZWA NA SERIKALI HII TUIKATAE JUMLA JUMLA ILI KUWAENZI NDUGU ZETU KAMA AKINA AZORY NA BEN SIR8.
AKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.
Hii ni fakeAKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.View attachment 1576516
Alisikika Kilaza mmoja AkisemaMAGUFULI AMEIPA CCM WAKATI MGUMU SANA
Acha Wapuuzi walishane matango poliHii ni fake