Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,649
- 6,485
Ohoo! Mnampoteza John hivo. Au wewe pia ndiyo wale wanaotuhumiwa na Bashiru kuwa mnamsaliti John?
Mtu akitenda ubaya kwa makusudi pasipo kuomba radhi ni lazima aadhibiwe tu.Mzee wa visasi
Jowe hafai kuwa hata kiongozi wa familia achilia mbali kuwa Rais wa nchiScenario zipo tofauti hapa hatuna minority rule na pia hatuna Boers acha kupotosha una uhuru wa kuropoka utakavyo na kuishi utakavyo.
Acheni porojo Magufuli anatosha.
JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Tumeamua kumkataa mtu mbaguz iKwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzani, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake katika kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
wewe watumia makalio kuongea ?Mtapoteana sana baada ya 28 oct humu chadomo!
Kigogo si mbea tu, mtu mbea si kila anachoandika kina ukweli.Nenda kqmsome Kigogo2014 kule tweeter uone jinsi anavyohaha.
Hakuna wa Kumgusa maana yake nini?Mkuu Ondoa hofu Hakuna wa kumgusa TL kwa sasa.
Pombe hana namna huyu jamaa yuko salama kwenda Ikulu
Ee Mungu wa mbingu na nchi, ututazame sisi viumbe vyako hapa tanzania, wapo watawala karne na karne waotawala kwa mkono wa chuma uliwashusha kwa uweza wako.Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu, tutaishi na kuyasimulia Matendo makubwa ya awamu ya tano. Kama ni kufa, jiongeze tu kamanda, maana Magufuli ni Tano tena.
Huo wote ni ushindiKuna kushinda na kushurutisha kutangazwa mshindi. Jitahidi kutengenisha hayo mambo.
😂😂😂 '' anamuiga mtoto wa rais karume " 🤣🤣🤣Tundu atafute pa kwenda sijui atakula nini, ruzuku zetu kwa chadema anazotumbua sasa hivi hakuna tena, uwakili kibali chetu hakuna, Ulaya viza hapati, anamuiga Fatuma, mwenzake mtoto wa Rais
Hivi unajua utawala wa mkono wa chuma au unaropoka ropoka tu, hii nchi iko huru sana ukifafananisha na mataifa mengine sisi tuna uhuru mno hata sijui unakwama wapi kuelewaEe Mungu wa mbingu na nchi, ututazame sisi viumbe vyako hapa tanzania, wapo watawala karne na karne waotawala kwa mkono wa chuma uliwashusha kwa uweza wako.
Tutendee nasi vivyo, maana tumedhikika sana kwa mkono wa chuma wa huyu mtu, safari hii tunaona dalili ya mkono wako ukitaka kutukomboa kutoka kwenye mkono wa chuma wa huyu aliyepo.
Mshushe Mungu wetu, mshushe kwa jina na Yesu ameen
Magu anajua.. ngoja aje akuibie siriHakuna wa Kumgusa maana yake nini?
Ndio nani huyo sisi Rais wetu ni Dr. John P. Magufuli na hilo halina ubishi.Jowe hafai kuwa hata kiongozi wa familia achilia mbali kuwa Rais wa nchi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ani akili zingine bhana sijui mlizaliwa usiku, ivi kwa uwezo wa kufikiri ulionao ww unataka magufuli akujengee nyumba ? Unataka magufuli akupe hela cash ? Kama umeshindwa kufanya kazi kwa uzembe wako utakufa na umaskini wako wala usije hapa kumlaumu magufuli, serikali ina deal na vitu vya umma cyo vya mmoja mmoja kama unavyofikiri ww, hakunaga serikali yenye uwezo wa ku deal na maendeleo ya mtu mmoja mmoja hapa duniani, narudia tena aina ya serikali unayoitaka haiko duniani kwa sasa, alikuwa Gaddafi tu aliyeweza ku deal na maendeleo ya mmoja mmoja na hayupo tena duniani alishauwawa na wafadhili wa lisu ( mabepari) .Maendeleo siyo barabara, reli na zahanati alipaswa kujiongeza. Aangalie watu.
Basi baki naye wewe mwenye akili. Watanzania wote tumemkataa.Ani akili zingine bhana sijui mlizaliwa usiku, ivi kwa uwezo wa kufikiri ulionao ww unataka magufuli akujengee nyumba ? Unataka magufuli akupe hela cash ? Kama umeshindwa kufanya kazi kwa uzembe wako utakufa na umaskini wako wala usije hapa kumlaumu magufuli, serikali ina deal na vitu vya umma cyo vya mmoja mmoja kama unavyofikiri ww, hakunaga serikali yenye uwezo wa ku deal na maendeleo ya mtu mmoja mmoja hapa duniani, narudia tena aina serikali au unayoitaka haiko duniani kwa sasa, alikuwa Gaddafi tu aliyeweza ku deal na maendeleo ya mmoja mmoja na hayupo tena duniani alishauwawa na wafadhili wa lisu ( mabepari) .
Sema ww umemkataa na siyo watanzania wamemkataa, mm mwenyewe ni mtanzania wala siyo msudaniBasi baki naye wewe mwenye akili. Watanzania wote tumemkataa.
Hata mimi napenda maendeleo ila kwa mtazamo tofauti,napenda maendeleo ya watu na vitu. Yangu hapati.Mimi nitampigia kura sababu napenda maendeleo.
JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Nimewaza kama wewe mkuu! Ni lazima tuhakikishe tunalitoa hili chatu vyovyote iwavyo...otherwise kwa hali yoyote akirudi kwenye ofisi yetu kuu tumekwisha! Sijui hata kama tutakuwa na uchaguzi mwengine baada ya miaka mitano!Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzani, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake katika kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.