jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Wamezindua kampeni za kisayansi Sasa,Kama wanavyoita,njia za kawaida ya ushawishi imewashinda waneanza kuegemea mbeleko.Hawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.
Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.
Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!
Bashiru kiukweli umechoka sana!
ππππzamu hii wamekuja na helicopter ya kijani ukiona angani utadhani senene linapaa
Hii ni mbinu ya Polepole kupora pesa za kampeni za ccmHawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.
Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.
Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!
Bashiru kiukweli umechoka sana!
Hangaika na msaliti Lissu ya CCM hayakuhusu.Hawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.
Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.
Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!
Bashiru kiukweli umechoka sana!
ohooooo !!!zamu hii wamekuja na helicopter ya kijani ukiona angani utadhani senene linapaa
Magufuli ni Rais 2015-2025 kama hutaki kufa ama hama Nchi!
ccm ina jambo gani bwana zaidi ya futuhi ya jamaa yenu,kesho atakuwa wapi tuone futuhi zakeHangaika na msaliti Lissu ya CCM hayakuhusu.
Leo alikuwa Iringa kesho atakuwa Mbeya na nyomi ya leo Iringa ni hii hapa chiniccm ina jambo gani bwana zaidi ya futuhi ya jamaa yenu,kesho atakuwa wapi tuone futuhi zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zamu hii wamekuja na helicopter ya kijani ukiona angani utadhani senene linapaa
hiyo ni fiesta watu wamekuja kuangalia wasanii usisingizie kampeni,mzee wa futuhi yupo na wasanii wakeLeo alikuwa Iringa kesho atakuwa Mbeya na nyomi ya leo Iringa ni hii hapa chini
View attachment 1583741View attachment 1583742
Atalipishwa garama hiyo muda sii mrefu na chama kwani hata Sasa wameshaangukia pua bado wanaendelea kuingia gharama bila sababu. Ni Bora wa save gharama angalao wapate mafao kwani wao wananafuu yakutoguswa na miaka 60 ili update fao la kukosa kazi.Hii ni mbinu ya Polepole kupora pesa za kampeni za ccm
Mvutano wa kazi gani?,Si msubiri tarehe 28 Oktoba?Mkuu zungumzia nafsi yako na kama ukishindwa ongezea familia yako au waumini wenzako wa ndoto za abunuasi.
Watanzania watampa JPM kura za NDIO.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Hotuba yake haizungumzii ni kwa namna gani Uchumi utamgusa mwananchi wa kawaida, hasa mkulima wa huko mabonde kwinama, yeye amejikita kwenye treni, SGR, barabara, uwekezaji.Wanasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza. Hivyo nikaamua kufungulia TBC (baada ya siku nyingi kupita bila kuitanzama) na kumsikiliza mgombea wa CCM...