Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mgombea kashauriwa awe anakwenda kwa vipindi vifupivifupi nakupumzika. Huoni siku hizi hata push ups hakuna?
 
Hawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.

Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.

Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!

Bashiru kiukweli umechoka sana!
Wamezindua kampeni za kisayansi Sasa,Kama wanavyoita,njia za kawaida ya ushawishi imewashinda waneanza kuegemea mbeleko.
 
Hawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.

Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.

Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!

Bashiru kiukweli umechoka sana!
Hii ni mbinu ya Polepole kupora pesa za kampeni za ccm
 
Hangaika na msaliti Lissu ya CCM hayakuhusu.
 
ccm ina jambo gani bwana zaidi ya futuhi ya jamaa yenu,kesho atakuwa wapi tuone futuhi zake
Leo alikuwa Iringa kesho atakuwa Mbeya na nyomi ya leo Iringa ni hii hapa chini

IMG-20200928-WA0035.jpg
IMG-20200928-WA0036.jpg
 
Hii ni mbinu ya Polepole kupora pesa za kampeni za ccm
Atalipishwa garama hiyo muda sii mrefu na chama kwani hata Sasa wameshaangukia pua bado wanaendelea kuingia gharama bila sababu. Ni Bora wa save gharama angalao wapate mafao kwani wao wananafuu yakutoguswa na miaka 60 ili update fao la kukosa kazi.
 
Mkuu zungumzia nafsi yako na kama ukishindwa ongezea familia yako au waumini wenzako wa ndoto za abunuasi.

Watanzania watampa JPM kura za NDIO.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Mvutano wa kazi gani?,Si msubiri tarehe 28 Oktoba?
 
Wanasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza. Hivyo nikaamua kufungulia TBC (baada ya siku nyingi kupita bila kuitanzama) na kumsikiliza mgombea wa CCM...
Hotuba yake haizungumzii ni kwa namna gani Uchumi utamgusa mwananchi wa kawaida, hasa mkulima wa huko mabonde kwinama, yeye amejikita kwenye treni, SGR, barabara, uwekezaji.
 
Back
Top Bottom