Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Sasa huyu mzee tutampiga marufuku kwenye kampeni maana haiwezekani tumuweke jana tu leo uanze kututibua.
 
Wewe ni muongo Butiku hayupo hapa makambako!
 
Nafikiri lengo la Butiku ilikua kuwaprove wrong akina Lissu akapatikana yeye!!

Aibu nimeona mimi!!
Hamna, Butiku alikuwa anapeleka ujumbe kwa Magufuli na tumeshtukia. Tunamtimulia mbali tubaki na Pinda wetu anayeijua siri ya jeshi!
 
Wewe ni muongo Butiku hayupo hapa makambako!
Basi aliyeuliza asiwe Butiku. Cha msingi mmejaza wanafunzi. Iringa ndio ilikuwa kufuru kabisa.
Shule zooote za mjini na pembezoni zilileta watoto uwanjan wakiwa na sare za CCM.
Naweza sema nusu ya umati ulijazwa na wanafunzi
 
Wakuu nipo live hapa nasikiliza kampeni za mgombea kutokea makambako Njombe, moja ya ahadi zilizotolewa ni kuongeza vichwa vya treni, kujenga uwanja wa ndege njombe na kuongeza ndege ili ziwe zinabeba ulanzi na maparachichi kupeleka Daresalaam na nje ya nchi.
Tunashukuru wagombea wetu, tunazidi kuwasikiliza na tarehe 28 October tunaomba tu sanduku na karatasi ya kura ndio vikatupatie mshindi wetu.
 
AISEEE HATIMAE ULANZI UTAPATIKANA KWENYE BAR ZA DAR,TUTAKUWA TUNALEWA HUKU TUNASHUSHIA NA NYAMA PORI😀😀😀
 
Naomba ujiheshimu,mimi sipo Ccm nasema ukweli.
Kamanda usiechoka kutoka CCM tujikite kwenye mada.Kitendo cha CCM kunyanyasa watoto wadogo kwa kuwashindisha kwenye jua kali kwenye kampeni zao kwa kigezo cha kuongeza vichwa,je hii ni halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…