dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Sasa huyu mzee tutampiga marufuku kwenye kampeni maana haiwezekani tumuweke jana tu leo uanze kututibua.Nimeshangaa Sana baada ya Polepole kumkaribisha mzee Butiku ameanza kwa kuuliza wanafunzi waliohudhuria mkutano wanyooshe mikono na nusu ya waliohudhuria wamenyosha mikono wengine wakiwa ndani ya nguo za shule.
Vipi huko Makambako kwani wanafunzi wako likizo? Au Leo Ni Kuna holiday huko?