Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana, Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli. NeverHabari waungwana!
Kumpigia au kutokumpigia kura ya ndiyo mwanasiasa si dhambi.
Mimi ni mmojawapo ambao tarehe 28, October, 2020 sitampa kura yangu Magufuli.
Kama na wewe hutampa kura yako Magufuli hebu weka sahihi yako hapa.
Yes.Labda tu nikutolee mfano binafsi...maisha na kipato changu kimeongezeka mara nne zaidi wakati wake kuliko nilivyokuwa napata kwa Kikwete kwa njia halali ila sitampa kura yangu sababu ya udickteta na kuminya democrasia.
Usiishi kwa kukariri
Funguka
Huna uwezo wakufanya lolote zaidi ya kumbwela tuuu.Tuna akili sana, ila hakuna jinsi. Namna pekee ni kuvaana ili atakayepoteza maisha apoteze, atakayebaki hai abaki, ila tutaheshimiana baada ya hilo sakata.
Huna uwezo wakufanya lolote zaidi ya kumbwela tuuu.
Asante kwa kuelewa msagaji mwenzie na halima mdee.Ni kweli kabisa mama majaliwa.
Bahati mbaya anamuombea mtu anaeenda kuwa mstaafu kuanzia November 1.Ahmed shabib analinda biashara zake lazima amuombee magufuli kura.
Watanzania wapo tayari kumpa Magufuli hata 20 years kuliko kuwapa utopolo wa Ufipa. Magufuli 5 tena.Magufuli hategemei kura kuwa rais, bali anategemea tume isiyo huru ya uchaguzi na vyombo vya dola kutangazwa mshindi.
Labda Watanzania wanaoishi Sayari ZuhuraWatanzania wapo tayari kumpa Magufuli hata 20 years kuliko kuwapa utopolo wa Ufipa. Magufuli 5 tena.
Buku 7 kachukue Lumumba. Kisha kakojoe ulale.Katika hali ya kushitusha mno kwa Sugu na Chadema kwa ujumla, leo Magufuli wakati akiingia mkoa wa Mbeya wananchi maelfu walikuwa wamejipanga barabarani kumpokea walianza kudeki barabara anayopita Magufuli!.
Chadema mpo? Tukutane kesho uwajani.View attachment 1584943
Nasikia yule jamaa anayejiita Erythrocyte amekimbilia mafichoni huko Kyela akiwa na mfadhaiko mkubwa sana.Katika hali ya kushitusha mno kwa Sugu na Chadema kwa ujumla, leo Magufuli wakati akiingia mkoa wa Mbeya wananchi maelfu walikuwa wamejipanga barabarani kumpokea walianza kudeki barabara anayopita Magufuli!.
Chadema mpo? Tukutane kesho uwajani.View attachment 1584943
Wataisoma namba wao shenziWatakua wanamdekia Diamond, maana ndie anasubiriwa kwa hamu
Tulia atulie, asije jisahau akavaa boxer ya man wake akihangaika kumuandalia mkutano babu kubwa pombe.
Story za 2015 bado tunazikumbuka ndo maana cmpi kura yangu. Nakumbuka milioni 50 kila kijiji.Tunasubiri yale yaliyopita. Mambo ya kuendelea kupigana fix kama mazwazwa hatutaki tena.
Hivi anatuonaje huyu mzee? Anadhani sisi wote mabumunda kama ya LumumbaView attachment 1548477
Nasikia wameshusha bendera zote za Chadema chini ya usimamizi Polisi, wanambeya wanawatazama tu.Dk MAGUFULI kesho anatua MBEYA Chadema matumbo moto
majidai yenu yanaenda kuzimwa kesho mbeya