HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Uzuri was Magu hachaguiNi ukweli ulio wazi CCM imechokwa na watanzania lakini sio kwa haraka hivi. Watu wangeendelea kukivumilia kwa Mambo makubwa aliyofanya mh rais magufuli only if Kama angekuwa na hulka ya Kikwete...
Yeye ndiye tumeTangu kampeni kuanza sijawahi kumsikia mgombea wa ccm, Magufuli akitangaza kuwa tume iwe huru. Sijawahi kumsikia hata kidogo akisema tume imtangaze yeyote atakayeshinda, awe yeye au mwingine na atakubali kushindwa.
Bahati mbaya Tanzania vichaa ni wengi zaidi kuliko wazima,Esijiara
Stigilazi
Drimulaina
Maflayiova
Zahanati 400
Na hadithi yangu ikaishia hapo....Huyu mzee ukienda kwenye ballot chamber ukamuwekea tiki ukitoka hapo nakushauri uende mirembe maana una ugonjwa wa ukichaa!
Hilo eneo la mkutano au kituo cha mafuta?Kutokea Nyakanazi muda huu ...
Mshukuruni JPM, Bashiru , Polepole etc. Kuwaokoa wanaCCM na adha ya kubeba jezi zao kwenye mifuko ya rambo na wakina mama kwenye tupochi twa pimajoto.
Hilo eneo la mkutano au kituo cha mafuta?
Maendeleo HAYANA CHAMAHivi, connection anayoisema ni ipi wakuu? Ukienda majimbo yanayoongozwa na wabunge wa chama chake utashangaa, Sitaki kuyataja Ndugu mnayajua yooote kwani huko hiyo connection haitakiwi?
Daah huyu baba sijui kakutwa na nini jamani, mara Jimbo linaloongoza Kwa kukosa Maendeleo ni Rorya na Mwibara Yote hayo yamekuwa chini ya chama chake tangu kupata uhuru, sasa huko kwani hakukuhitajika connection? Khaaas
CCM....... Oyeeee
CCM....... Oyeeee
Chadema...... Oyeeee
Maendeleo hayana vyama!
Sasa je?naoana Leo amecheza ngoma ya Lisu,Lisu anajua kucheza na akili zenu,subiria baada ya mikutano miwili tu kama hatamjibu Lisu itakuwa kiroja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kama taifa tumeshapiga hatua ya kuweza kujitegemea na hatimaye kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati tukiwa miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi barani Afrika.
Kamwe tusiruhusu kuongozwa na Rais anayedekadeka kwa wazungu, atauza nchi.
Nawatakia Jumaa karim.
Maendeleo hayana vyama!