Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Basi Magufuli afukuze mabalozi wa mabeberu na afunge ubalozi kwenye nchi za mabeberu kama kweli anamaanisha au ni ndoto za kukojoa chooni wakati unakojoa kitandani
 
Mawazo ya kijima,ya kijamaa. Unaweza vipi kuendelea pasipo kushirikiana na mabeberu. Madikteta, wajamaa awawapendi wazungu sababu awataki kusikia kitu kinaitwa haki, demokrasia,hivi vinawabana vinawazuia kutesa,kuuwa watu,kuibia watu.The Hague na kunyimwa misaada ndio kiwarudishacho Hawa watawala dhalimu nyuma
 
Hakuna mtanzania anayejitambua atakaa amchague Rais dhalimu kama Meko.

Tunataka ustawi wetu uimarike awamu hii. Yaambieni madaraja na ndege vimchague huyo dikteta wenu.
Kamwe hatutaiweka nchi yetu mikononi mwa mawakala wa mabeberu!
 
Bwashee vp leo umeamka nayo? mana kuna wakat kidogo ulionekana una akili hapo za kisoda
 
Basi Magufuli afukuze mabalozi wa mabeberu na afunge ubalozi kwenye nchi za mabeberu kama kweli anamaanisha au ni ndoto za kukojoa chooni wakati unakojoa kitandani
Kuna tofauti kati ya kushirikiana na kudeka.

Usipanic bwashee!
 
Hakuna mtanzania anayejitambua atakaa amchague Rais dhalimu kama Meko.

Tunataka ustawi wetu uimarike awamu hii. Yaambieni madaraja na ndege vimchague huyo dikteta wenu.
Hizi ndo hakili za upizani. Kama unashindwa kufanya kaz bas subili serkali ikuletee pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…