Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Jitambue tumefika uchumi wa kat bila mabeberu
 
Tanzania ndio tunayoihitaji dunia na si dunia inatuhitaji sisi.

Mind you wewe kada usiye na malipo maalumu.
 
Huyo wa kwenu siyo kuwa hawapendi wazungu. Tatizo ni kwamba ataongeaje nao? People used to die inze reki.....
 
Bora huyo kuliko Raisi anaeligawa Taifa kwa kunyima maendeleo sehemu ambazo zinaupinzani lakini Kodi zao anakusanya.
 
Jitambue tumefika uchumi wa kat bila mabeberu
Uchumi wa Kati Hali hata uwezo wa kujenga choo huna unategemea wazungu wakujengee.Huwezi ukatenganisha dikteta na propaganda, future less people Kama nyie ndio marafiki wa madikteta sababu ni rahisi kuwapropaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…