Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mawazo ya kijima,ya kijamaa.
Unaweza vipi kuendelea pasipo kushirikiana na mabeberu.
Madikteta, wajamaa awawapendi wazungu sababu awataki kusikia kitu kinaitwa haki, demokrasia,hivi vinawabana vinawazuia kutesa,kuuwa watu,kuibia watu.The Hague na kunyimwa misaada ndio kiwarudishacho Hawa watawala dhalimu nyuma
Jitambue tumefika uchumi wa kat bila mabeberu
 
Tanzania ndio tunayoihitaji dunia na si dunia inatuhitaji sisi.

Mind you wewe kada usiye na malipo maalumu.
 
Tanzania kama taifa tumeshapiga hatua ya kuweza kujitegemea na hatimaye kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati tukiwa miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi barani Afrika.

Kamwe tusiruhusu kuongozwa na Rais anayedekadeka kwa wazungu, atauza nchi.

Nawatakia Jumaa karim.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo wa kwenu siyo kuwa hawapendi wazungu. Tatizo ni kwamba ataongeaje nao? People used to die inze reki.....
 
Bora huyo kuliko Raisi anaeligawa Taifa kwa kunyima maendeleo sehemu ambazo zinaupinzani lakini Kodi zao anakusanya.
 
Jitambue tumefika uchumi wa kat bila mabeberu
Uchumi wa Kati Hali hata uwezo wa kujenga choo huna unategemea wazungu wakujengee.Huwezi ukatenganisha dikteta na propaganda, future less people Kama nyie ndio marafiki wa madikteta sababu ni rahisi kuwapropaganda.
 
Back
Top Bottom