Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Magufuli atashinda kwa kishindo kikubwa sana, huyo anaetumiwa na mabeberu hatumtaki anateka auze nchi
 
Magufuli amekigharimu na atakigharimu Sana chama kwenye uchaguzi watu hawana nongwa Sana na CCM Ila Magufuli ndio watu hawampendi kutokana na hulka yake na tabia yake.
 
Wewe siku hizi umehamia kwenye upumbavu na ndege zenu hizo
 
WIZI lakini tukilinda kura zetu hadi matokeo yatangazwe na kugoma mawakala wetu kuondolewa kwa hujuma Nchi nzima basi kichaa is out.

 
Staili ile ile kama ya serikali za mitaa ataiboresha kidogo.
 
Tumeshamuandalia ile dreamliner kumrudisha chato na familia yake hapo November
 
Tarehe 28/10/2020 twendeni na Hashimu Rungwe. Sera yetu ni ubwabwa kwa wote
 
Wanabodi, najaribu kufuatilia yanayoendelea ccm, ukifuatilia na kutafakari utagundua kua kinachofanywa na ccm kwa mgombea uraisi majukwaani syo kampeni bali ni matamasha ya music na nyimbo za mapambio.

Nasema hivi kwa kua ukiangalia watu wanaanza kuondoka mara mziki na mapambio vinapomalizika,
Najiuliza.

1.Hivi wanamuziki wasingeshiriki, je mikutano ingekua na mvuto?
2.Je, ccm isingekua ndo serikali wangeweza kusomba watu toka maeneo tofauti kuja mkutanoni wakiwemo walimu na wanafunzi wao?
 
Tanazania na watanzania vumemkataa Magufuli. Hata yeye anajua hilo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…