Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kazi kubwa aliyofanya kwa miaka minne na ushehe
Magufuli hana historia ya kushinda kwa box la kura, na hata ndani ya hii miaka mitano tumeshuhudia chaguzi za kishenzi, kikatili na uhayawani wa wazi. Na yote hayo ni maagizo yake.