secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Mkuu mimi sipo ssm nimechomekea tu hapo na wala sina chamaSisi tunataka huo mziki tu wa bure kutoka kwa hao wavaa hereni. Hotuba mara zote imekua haina mvuto na pia imekosa matumaini.
Zaidi tu ni kuimbishana kinguvu ''Aliserema'' serema serema!!!
By the way, mbona mnawapotezea sana TOT kwenye kampeni za mwaka huu? Au hamfahamu kila mwezi chama kinawalipa mshahara hao waimbaji?
Au kwa sababu Cpt Komba hayupo? Pia ule wimbo wa "CCM ni ile ile" 'wacha tuisome namba' hauimbwi kabisa awamu hii eti!!!
Nani aungue jua...tutakutana October 28Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.
Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "
Source: Uhuru
Lissu yeye uhakika wake ni upi?"Watu wa Kigamboni nileteeni Ndugulile, watu wa Kawe nileteeni Gwajiboy, watu wa wapi sijui nileteeni na madiwani" hizi ni kauli ya JPM. Swali kama anajua kashinda kwanini asitulie maana kwa kauli hizi inaonekana uhakika upo.
"Mkichagua upande ure sileti maji"
Takwa la Kisheria. Lazima aoneshe ruzuku imetumikaje, sio kama chama chako kisicho nidhamu. Wao hutafuna ruzuku, michango ya wabunge, kisha huchangisha wananchi wanyonge. Mungu anawaona na udhalimu wenu."Watu wa Kigamboni nileteeni Ndugulile, watu wa Kawe nileteeni Gwajiboy, watu wa wapi sijui nileteeni na madiwani" hizi ni kauli ya JPM. Swali kama anajua kashinda kwanini asitulie maana kwa kauli hizi inaonekana uhakika upo.
"Mkichagua upande ure sileti maji"
Why not 100%?Magufuli ni mnyenyekevu anapita kuwasalimu Watanzania
Ushindi ni 98%
Why not 100%?
Nakuuliza wewe uliyesema 98% hii asilimia mbili ndio wakina nani hawa?Ilo swali aulizwe msaliti wa Nchi Lissu
Nakuuliza wewe uliyesema 98% hii asilimia mbili ndio wakina nani hawa?
Baba wa Taifa aliruhusu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama Vingi Tanzania kwa vile aligundua WATANZANIA WALIKUWA WANATEKA MABADILIKO ya Uongozi.....! Lakini kwa bakhati mbaya kabisa tangu uanze mfumo wa Vyama vingi CCM haijawahi shinda Uchaguzi wowote na badala yake imekuwa ikipora ushindi wa vyama pinzani si Bara wala Visiwani.Nashuhudia kwa mara ya Kwanza Rais anaongoza term moja.
Safari hii, Mshindi hapangi NEC, CCM, Polisi wala Wapiga kura.
Unauliza ni nani?
Tusubiri 28th October
You know what my dear Beatrice?Mgombea wa CCM kwa kiti Cha Urais ajapata kizuizi chochote Cha kutembea eneo lolote nchini lakini Hadi Sasa ametembelea chini ya Nusu ya Wilaya na Mikoa ya Tanzania Bara, je, kwa kipindi kilichobaki ataweza kutembea maeneo yaliyobaki?
Mwaka 2015 alifanya kampeni karibia kila kona ya nchi, kwa nini baada ya kuwa madarakani speed yakuwaomba wananchi Kura imepungua? Ikumbukwe kwa miaka mitano pia hakuweza kurudi kwa wananchi kuwashukuru kwa Kura walizompa, maeneo mengi aliyotembelea akiwa madarakani Ni Yale aliyokuwa na miradi ya uzinduzi. Timu ya kampeni itamsaidiaje awafikie Watanzania waliobaki wasije wakamnyima Kura kwa kumtafsiri Kama amewadharau?