Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Serikali ya CCM ndiyo Serikali hutumia magari ya gharama kupita Serikali zote Duniani hawana huruma na pesa za walipa kodi wao ni mwendo wa kula bata sana
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, chini ya CCM Mkoloni mweusi kaburu tokea chato ndipo Nchi imezidi kurudi nyuma zaidi kwani pesa za viwanda peda za walipa kodi pesa za maendeleo zote anazitumia kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi bila kusahau upigaji trilion 1.5 kisha kutoa CAG kafara huku akijenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…