Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Wewe umekosa uhuru gani?
 
Bado mapema sana hio picha

In fact watu wapo!
 
Tatzo mnapiga picha wakati bado mkutano haujaanza ndio kwanza watu wanaanza kukarbia .
Ulitakiwa baada ya kuandika ulichokiandika ulete picha iliyopigwa kwenye hatua za kufunga mkutano.

Akili ndogo mna shida sana.
 
Uvccm kwa sasa hivi wamehamia kwenye kushindanisha umahiri wa kucheza SINGELI baada ya mgombea wao kuwaruka kwenye sera na kujikuta anaongelea kugongana bila kinga.
 
Meko anapenda sana kutoa kauli za kudhalilisha wanawake na utu wa mwanamke. Ni matusi ya nguoni
Sijui ni kwanini?
 
Kila akizungumza utasikia Ndege, reli, stiglaz .... ! "Tumeibiwa sana, nchi yetu ni tajiri" na blaa blaa kibao!
Aache ujinga
Tumeibiwa na nani sasa wakati yeye alikuwepo serikalini tangu wakati wa mkapa na ameshiriki kusaini hiyo mikataba ya kinyonyaji.
 
Unapiga picha kutumia techno kimeo ukiwa mbali maili 100,pathetic
 
Tatzo mnapiga picha wakati bado mkutano haujaanza ndio kwanza watu wanaanza kukarbia .
Mleta mada muongo muongo sana, mkuu hebu tupia kapicha ka jioni hii tumuumbue jamaa.
 
Huu mkutano wa kijiji cha wapi?!
 
Mimi nahisi alikuwa na shauku ya kutaja matiti tu. Hivi kweli tuzaliane kwa sababu matiti yapo!! Yani haya matiti yamekuwa kama embe tu sasa!
 
Naona mstaafu yupo zake msoga anawwhadhitia wajukuu zake sherehe ya utopolo ilivyofana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…