LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Wanao bwebwa na malori hupewa mshiko. Sasa kwenye box kuna mshiko?Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.
Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,
Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori