Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Wanao bwebwa na malori hupewa mshiko. Sasa kwenye box kuna mshiko?
 
Wanao bwebwa na malori hupewa mshiko. Sasa kwenye box kuna mshiko?
wanapewa mshiko sawa mbona manyara juzi wamewaleta kutoka wilaya za karibu halafu wakawaacha hadi leo michango midogo inaendelea kuwarudisha makwao
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Na huko ndiko kuna kura nyingi, sasa nyie komaeni mijini na chadema yenu halafu Daktari msomi profesa mnyenyekevu mjeuri meko akishinda mseme mmeibiwa.
 
Hata vijijini tutampiga pini,

kule bukoba alituiaita watu wa ngono, ukimwi na katerero, akatunyima misaada tuliyochangiwa na ndugu zetu

simiyu alituambia tufe
na njaa hatoi chakula Cha msaada,

kule manyara Alisema watoto wetu wa kike wanaopata mimba hakuna Kurudi shule

Kule mtwara alituita kagomba wezi na kupora korosho zetu. Pia akatutishia kuwapiga shangazi zetu.

Hata sisi Wana vijiji tumemkataa
Kama vile vijiji vyote umeishi.
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Endeleeni kujipa moyo wenzenu wananfanya mikutano zaid ya kumi na tano per day ww unafanya mkutano mmoja afu unajipa moyo...

Wapige kura wafikie uwashawishi wakuunge mkono sio mnakuja hapa jf mnajipa moyo tuu...

Ingieni hata huko vijijini mkatafute kura unaposema wavijijini tuu ndo watampa magu kura thats mean hamtaenda kufanya kampeni huko?
Miji mikubwa unayorefer ni ipi ndugu?
 
hamna kipya zaidi ya singeli
 
Milioni 50?
Halafu msichojua umeme na maji huwa vinapatikana siku anapokuja kiongozi mkubwa/waandishi wa habari tu. Siku akiondoka na vyenyewe vinazimwa. Vinasubiria ziara ijayo hilo jambo linaudhi watu mno ila pa kusemea hakuna.

Korosho, pamba amekwamisha.
 
Mboga Mboga kwa sasa hawana mvuto hata huko vijijini, wajiandae kuachia nchi.
✌✌
 
Uchaguzi mkuu 2020 ni kama kuchezea fedha bure. Mshindi kesha onekana wazi ni nani. Fedha hizi zingetumika kwa mambo mengine ya maendeleo ya nchi.
 
Hamkani hali sio shwari.
Wanatuona sisi mbulura hatuendi ila kwa matamasha.
Kesho mama Samia ataongezeaa nguvu na wasanii wa BONGO movies.
Ikumbukwe kesho mama atakuwa Dar mwembe yanga na Tabata.
Wamegundua kwamba hatuishi kwa madaraja, ndege na reli sasa wanatupumbaza Kwa kutuletea wasanii 200 na mama mkanye .wanao.
Bila wasanii hamna kitu.
Ccm haya ni matamasha ya fiesta au ni kampeni?
MTETEZI WA WANYONGE WANYONGE HAWAJI KUKUSIKILIZA MPAKA ZUCHU?
Kazi ipo
 
CCM itapata kura nyingi sana kwenye majiji ya Dodoma, Mza na Dar.. Yani kwa sasa Dar ni CCM na CCM ni Dar.. Ukishashinda kwenye haya majiji matatu, tayari umeshachukua nchi!
 
MATAGA mwisho wenu umefika.
Sio kila unaemuona humu ni mwana ccm buddy.... Mwisho wa ccm sio simple kama mnavyo jidanganya humu....
Chadema wanafanya masihara na huu uchaguzi hamko serious kama opponent anayetamani ushind....
Tunawashauri fanyeni kampeni seriously na kwa sehemu nyingi zaid...
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Hao wa mjini ni akina nani? Wavuta bangi na wanywa konyagi?
 
Back
Top Bottom