Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mjini hamna kura , hata wanaompigia debe humu Lissu hawatampigia kura , kundi la wapigaji kura ni lile ambalo lipo pori , boda boda , mama ntilie na watu wa harakat za mtaa watu ambao wanamuelewa Sana JPM, waliokosa ajira, waliotumbuliwa na wanaolilia mishahara minono na nyongeza ya mishahara hawawez panga foleni kupiga kura , na hata wakipiga hawawez mvusha TL
 
Ukitaka kuwajua watanzania halisi,anza na wafanyakazi wenzako ndo utagundua kuwa bado hakuna watu.
 
Mkuu unaishi kwenye vijiji vyote hivyo?
 
Vipi hizo bangi leo umevuta za Iringa au za Wapi mkuu?
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?

Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?

Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?

Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?
Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?
Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?.
Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Wote waondoke tu hawatakiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…