Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mjini hamna kura , hata wanaompigia debe humu Lissu hawatampigia kura , kundi la wapigaji kura ni lile ambalo lipo pori , boda boda , mama ntilie na watu wa harakat za mtaa watu ambao wanamuelewa Sana JPM, waliokosa ajira, waliotumbuliwa na wanaolilia mishahara minono na nyongeza ya mishahara hawawez panga foleni kupiga kura , na hata wakipiga hawawez mvusha TL
 
Ukitaka kuwajua watanzania halisi,anza na wafanyakazi wenzako ndo utagundua kuwa bado hakuna watu.
 
Hata vijijini tutampiga pini,

kule bukoba alituiaita watu wa ngono, ukimwi na katerero, akatunyima misaada tuliyochangiwa na ndugu zetu

simiyu alituambia tufe
na njaa hatoi chakula Cha msaada,

kule manyara Alisema watoto wetu wa kike wanaopata mimba hakuna Kurudi shule

Kule mtwara alituita kagomba wezi na kupora korosho zetu. Pia akatutishia kuwapiga shangazi zetu.

Hata sisi Wana vijiji tumemkataa
Mkuu unaishi kwenye vijiji vyote hivyo?
 
Ni ukweli ulio wazi Magufuli akijitahidi atapata kura za vijijini ,ila kwenye miji asahau kabisa ,majiji makubwa ndo usiseme hatapata kura kabisa.

Watu wa mjini wataamua nani aingie ikulu mwaka huu,

Kwahiyo wajiandae kupata kura za wanaobebwa na malori
Vipi hizo bangi leo umevuta za Iringa au za Wapi mkuu?
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?

Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?

Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?

Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?
Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?
Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?.
Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Wote waondoke tu hawatakiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom