Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tanzania kwasasa inamuhitaji Sana rais Magufuli kuliko kitu chochote kile.

Ni Bora tuipoteze CCM,CDM,ACT na n.k Ila Magufuli abaki he is a predential material.
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?
Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?
Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?.
Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Magu ameleta mambo ya hovyo sana Tanzania tumekuwa watu wanaofanya mambo kienyeji. Kosa lake jingine ni kutaka kuwaweka watanzania wote mfukoni hatukubali udikteta huu. Yeye na ccm waondoke mara moja.
 
Kile kijumba mkuu ni maendeleo ya vitu ingia ndani yake uone maendeleo ya watu
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?

Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?

Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?

Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Wasepe wote
 
Tanzania kwasasa inamuhitaji Sana rais Magufuli kuliko kitu chochote kile.

Ni Bora tuipoteze CCM,CDM,ACT na n.k Ila Magufuli abaki he is a predential material.
Presidential matey
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kweli umevurugwa
 
Tanzania kwasasa inamuhitaji Sana rais Magufuli kuliko kitu chochote kile.

Ni Bora tuipoteze CCM,CDM,ACT na n.k Ila Magufuli abaki he is a predential material.
Tanzania kwa sasa ina muhitaji sana kupata kiongozi kama Lissu, na Mungu ashukuriwe tumempata rais Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…