Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tanzania kwasasa inamuhitaji Sana rais Magufuli kuliko kitu chochote kile.

Ni Bora tuipoteze CCM,CDM,ACT na n.k Ila Magufuli abaki he is a predential material.
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?
Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?
Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?.
Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Magu ameleta mambo ya hovyo sana Tanzania tumekuwa watu wanaofanya mambo kienyeji. Kosa lake jingine ni kutaka kuwaweka watanzania wote mfukoni hatukubali udikteta huu. Yeye na ccm waondoke mara moja.
 
Hadi na Maendeleo ya watu? Nimecheka sasa nimeelewa ujinga wa Chadema kwa hiyo ndio maana hamkujenga ofisi ya makao makuu.Kwa Hiyo kufanya kazi kwenye kile kijumba kisicho na madirisha makubwa kilichojaa joto ndani yale ndio Maendeleo ya watu?

Kwa hiyo chadema wafanyakazi wenu wameendelea kwa kufanya kazi mazingira kama yale? Na ni haki kwao?

Kile kijumba mkuu ni maendeleo ya vitu ingia ndani yake uone maendeleo ya watu
 
Habari wakuu!
Je , tuiondoe serikali ya CCM tumwache Magufuli aendelee kutuongoza?

Je, tuiache CCM ila Magufuli aondoke serikalini?

Je, CCM iondoke pamoja na Magufuli, au both CCM and Magufuli should remain in power?

Tuwekane sawa hapa kwa hoja.
Wasepe wote
 
Tanzania kwasasa inamuhitaji Sana rais Magufuli kuliko kitu chochote kile.

Ni Bora tuipoteze CCM,CDM,ACT na n.k Ila Magufuli abaki he is a predential material.
Presidential matey
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kweli umevurugwa
 
Back
Top Bottom