Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tume iamue inataka uchaguzi ufanyike au usifanyike, sisi tumejiridhisha katika majimbo yetu yote 62 ya ubunge, wagombea wetu wamejaza fomu sawasawa na hakuna mgombea ambaye amekose chochote".Zitto Kabwe.
Wananchi wazalendo tunasubiri go ahead tu.
Toa go ahead basi
 
Ni ushauri mzuri kwa magu wana ccm mwambieni aende chattle akalale awaache wapinzani wapige kampeni ategemee aliyofanya miaka 5 atashinda akiwa amelala October.
 
Wacha tukamilishe ratiba tu ndugu. Wapinzani watasubiri Sana.
 
Wadanganye CCM waache kampeni ili lissu awanyooshe
 
Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.

Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.

Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
 
Kungekuwa na mkaguzi makini CCM hela za watanzania zinheokolewa. Thread mbovu kama kulipwa bk.7 ni matumizi mabaya ya Ruzuku.
 
Unakumbuka ile clip ya Gwajima kutaka wasukuma waungane? Alisema yeyote atakaye jaribu kumpinga John afanywe nini?

Sasa wameanza kwa kuhutubiq kwa kisukuma na hata nyimbo zote zinazopigwa ni za kisukuma. Hii ni hatari sana.
 

Jipe matumaini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…