Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Toa go ahead basiTume iamue inataka uchaguzi ufanyike au usifanyike, sisi tumejiridhisha katika majimbo yetu yote 62 ya ubunge, wagombea wetu wamejaza fomu sawasawa na hakuna mgombea ambaye amekose chochote".Zitto Kabwe.
Wananchi wazalendo tunasubiri go ahead tu.