Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

nawewe ni ccm mkuu?
Kwa hiyo Wakazi wote wa Mwanza ni Wasukuma?? Ninyi ndiyo mnaosababisha haya mambo ya kipuuzi yanayofanywa na Bw. Yule. Badala ya kukemea arudi kwenye mstari mnapotosha kwa kumpamba kwa maneno ya kipuuzi. Huko mbeleni tusilaumiane.
 
wale waliomzomea wamemchanganya kabisa leo. yani huyu jamaa dawa yake ndogo sana watu wakiingia barabarani wiki moja anakimbia nchi.
Nhiiiiiiiiii...nacheka kimagufuli kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚....emb jaribu.
 
Kwa hiyo Wakazi wote wa Mwanza ni Wasukuma?? Ninyi ndiyo mnaosababisha haya mambo ya kipuuzi yanayofanywa na Bw. Yule. Badala ya kukemea arudi kwenye mstari mnapotosha kwa kumpamba kwa maneno ya kipuuzi. Huko mbeleni tusilaumiane.

Kamanda pole sana kasalimia kwa lugha zote
 
Hoja yangu ilikuja baada ya andiko lako la kwanza, lisome urudie uone jinsi ulivyomtuhumu JPM kuendesha kampeni kwa kisukuma! Tena ukamuuliza aliyeanzisha thread kua yeye alitaka kuelewa ahadi iliyotelewa ili nini (ya siri?) Ili nini ? Au ni wivu? Narudia hakuna cha siri kilichotolewa. Kuhusu kutembea, nimetembea, tena kwenye campign nchi nzima na hatukuhitaji kuzungumza kilugha, na hutosikia JPM akiongea kilugha eti ili apate ushawishi. Tumewatambua mapandikizi, na tutawaumbua na kuwarekebisha tukitumai mtarudi kwenye mstari au muonyeshe rangi zenu halisi.
 
Nimekuelewa!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilidhani Mwalimu kafuta ukabila, kwani aliubakisha?
 
Tukiangazia mvuto wa CCM kupitia wasanii vijana, tunaona ni namna gani imeweza kuwateka vijana kupitia vijana wenzao waliojiajiri kupitia sanaa. Ukiangalia idadi ya wasanii walioiunga mkono CCM unapata picha ya mashabiki wa CCM vijana wataokaompigia kura Magufuli.
 
Nashukuru kujua umeshakubali CCM kama chama cha siasa hakina tena mvuto Tanzania, kimeshachakaa, na hao vijana siku ya kupiga kura wote huchagua upinzani ndio maana kila wakati nyie mnaiba kura tu.
 
ala kumbe. basi sawa.
nilidhani "tumeweza tumeteleza" ndiyo chambo ya kura.

kweli nimeamini Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!
 
Mimi nilijua vijana wameona utendaji kazi wa JPM,kumbe unamaana wasanii ndio chambo ya vijana kumpigia kura!!😁😁😁
Mataga wenzako kwenye hili watapita tu bila kutia neno,unamuaibisha JPM!
 
🀣🀣🀣 mataga masikini kumbe ndiyo mnavyojidanganya?

Yani mamilioni ya vijana wanaosota mtaani kwa kukosa ajira waichague CCM kwasababu tu sholo Mwamba kaimba nyimbo za CCM na kumpigisha magoti mgombea wenu jukwaani????

Come on Comrade you can not be serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…