Kuna Sera na Ilani.. Sera za chama Cha Mapinduzi Ni sera zinaendelea kuinfluence utendaji wa Serikali mpaka kufikia leo kwenye uchumi wa Kati. Sera huandaliwa na wataalamu wabobezi wa maswala ya kisera na ninachokwambia ni kuwa sera zote huwa ni njema uzisome Ukipata wakati. Kinachotofautisha CCM na wengine Sisi CCM sera zetu zinatekelezeka na tunao mfumo thabiti wa kuzitekeleza tangu Uhuru.
Manifesto au Ilani ni tangazo la hizi sera nzuri tulizo nazo. It's a marketing documi ya sera zetu.. na wakati wa kipindi Cha Kampeni tunachofanya ni kuzinadi.. kuonesha zetu ni Bora kuliko za wengine that's it.. hence ushawishi. Na hapa ndipo tunaendelea kufanya vyema zaidi maana tunazungumza na Watanzania wote hata wasiojua Kiswahili lengo ni wote waisikia na wazielewe ahadi na sera zetu.
Hoja yangu kwa mtoa Mada ilikuwa Kama watu was mwanza walioko mkutanoni hawajalalamika kwann yeye aliyeko mile 500 mbali Ndiye alalamike!? Na nikaonya huu sio ufikishaji ujumbe ni propaganda tu. Sasa bwana Abou ni kipi wewe unashindwa kuelewa ?
"Mwisho, narudia kusisitiza kuwa JPM hajahutubia kwa kilugha, alisalimia kwa kilugha, hajatoa AHADI MAALUM YA SIRI kwa wazungumzaji wa kisukuma,AMESALIMIA kwa kilugha."
Hapa nashindwa kukuelewa.. wewe unachokataa ni Nini.. maana Mimi mwenyewe nimeomba mleta mada anipe video inayomuonesha Mh. Dkt. JPM akizungumza kisukuma mwanzo mpaka mwisho..maana siamini Kama ipo.. wewe unataka nini!? Au husomi hizi reply kwa utulivu!?
Mwisho Uamuzi wa kuniita pandikizi au kuamini vyovyote ni wako... CCM inaendesha serikali huru na tunapromote Uhuru wa fikra pia.. despite the picture painted by many in this platform.. Ninaomba Nitumia fursa hii Kumuombea Mwenyekiti wangu wa chama na Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI Dkt. John Magufuli kura ya Ndiyo ([emoji3581]) kutoka kwako bwana
abou
Narudia Tena: Kiswahili Kuna mahali hakijulikani (Nakushauri tembea)
Na Sheria Inaruhusu kuzungumza Kilugha ilimradi awepo mkalimani na kama inahitajika.
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app