Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nasikia Kikwete anakuja kuongeza nguvu kwenye kampeni za CCM. Hivi wazazi wake na Azory, Ben Saanane, Akwilina, wafanyakzi wanaojitambua, waliofukuzwa vyeti, wakorosho wa kusini na wote ambao wameumizwa na utawala huu wa awamu ya tano, watabadiri msimamo na kuipa kura CCM kwa vile wasanii wanatumbuiza? Kwa vile JK ameingia kwenye kampeni? kwa vile "wajasiria dini" masheikh na maaskofu wameunga juhudi?

Bila wizi wa Kura na figisu and the like, CCM, you are bound to fail this time!
 
Huyo JK ni bora akajipumzikia tu.

Lakini hii aibu anayoitafuta ya kwenda mpigia kampeni Magu, hatakuja isahau!
 
Huyo JK ni bora akajipumzikia tuu.......

Lakini hii aibu anayoitafuta ya kwenda mpigia kampeni Magu, hatakuja isahau!
Anafanya kwa ajili ya familia yake ..Mama na mwana...family bonding....
 
Nasikia Kikwete anakuja kuongeza nguvu kwenye kampeni za CCM. Hivi wazazi wake na Azory, Ben Saanane, Akwilina, wafanyakzi wanaojitambua, waliofukuzwa vyeti, wakorosho wa kusini na wote ambao wameumizwa na utawala huu wa awamu ya tano...
Ni ngumu kubadilisha msimamo, hawawezi, sema tu wapo wachache Sana compared to the majority so hawatakuwa na impact.
 
Ingekuwa hivyo Mzee wenu asingekuwa anatishia na kufokea wapiga kura!
Kupitia kupendwa kwa mzee wetu na sera zetu nzuri tunaamini watanzania watatuchagua kwa kishindo kikubwa sana.
 
Nasikia Kikwete anakuja kuongeza nguvu kwenye kampeni za CCM. Hivi wazazi wake na Azory, Ben Saanane, Akwilina, wafanyakzi wanaojitambua, waliofukuzwa vyeti, wakorosho wa kusini na wote ambao wameumizwa na utawala huu wa awamu ya tano..
Statistically, hao bado ni number ndogo kukosesha CCM ushindi wa kishindo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…