Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Siasa,
Bora kufanya shughuli zako.
Ni ufisadi mtupu.
Bora kufanya shughuli zako.
Ni ufisadi mtupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa, Bora kufanya shughuli zako. Ni udisadi tupu.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa hivyo Mzee wenu asingekuwa anatishia na kufokea wapiga kura!Endelea kujifariji. Kama una presha tar 28 wa kumi kaa mbali na vyombo vya habari ikiwezekana tupa mbali simu yako.
Ni bora tu usiamini maana hakuna ukweli wowote! Ni siasa na matokeo yake hayo.Mie siamini had leo
Bila figisu hamtoboi mnakwenda na mtaro wa maji.Endelea kujifariji. Kama una presha tar 28 wa kumi kaa mbali na vyombo vya habari ikiwezekana tupa mbali simu yako.
Ukhnithi mtupu kama alivyosema Maalim Seif!Hivi wasanii kama hawa mikutanoni wanabadilisha nini mawazo ya wapigakura zaidi ya kuwaharibu watoto kimaadili?View attachment 1561199
Yepi hayo mkuu??.Tupe ubuyu.Daaah wee acha tu. Tuliowahi kuishi karibu na familia hiyo tuliyashuhudia mambo ya hatari
Anafanya kwa ajili ya familia yake ..Mama na mwana...family bonding....Huyo JK ni bora akajipumzikia tuu.......
Lakini hii aibu anayoitafuta ya kwenda mpigia kampeni Magu, hatakuja isahau!
Ni ngumu kubadilisha msimamo, hawawezi, sema tu wapo wachache Sana compared to the majority so hawatakuwa na impact.Nasikia Kikwete anakuja kuongeza nguvu kwenye kampeni za CCM. Hivi wazazi wake na Azory, Ben Saanane, Akwilina, wafanyakzi wanaojitambua, waliofukuzwa vyeti, wakorosho wa kusini na wote ambao wameumizwa na utawala huu wa awamu ya tano...
Kupitia kupendwa kwa mzee wetu na sera zetu nzuri tunaamini watanzania watatuchagua kwa kishindo kikubwa sana.Ingekuwa hivyo Mzee wenu asingekuwa anatishia na kufokea wapiga kura!
Mawakala wenu watakua wapi mpaka kura ziibiwe?.Kama ushindi halali haina shida kwani ndio demokrasia. Lakini kama ni wizi nyie tangazeni lakini mtashangaa
Huyu mama ameshavurunda kwa kusapoti wauaji.Akiomba Dua na kumshukuru yeye atoaye.
Ni jambo jema na ishara ya unyenyekevu.
Safari inaendelea vizuri sana na ushindi ni dhahiri.
Tatizo lenu makamanda munaamini kura zitapigwa Jf, FB na twitter . Likes za mitandaoni zinamdanganya sana lissu.Bila figisu hamtoboi
Statistically, hao bado ni number ndogo kukosesha CCM ushindi wa kishindo!Nasikia Kikwete anakuja kuongeza nguvu kwenye kampeni za CCM. Hivi wazazi wake na Azory, Ben Saanane, Akwilina, wafanyakzi wanaojitambua, waliofukuzwa vyeti, wakorosho wa kusini na wote ambao wameumizwa na utawala huu wa awamu ya tano..