Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nuclear grade upupu
 
JK alishawahi kukionya cha chake kuhusu kutegemea sana mbeleko la vyombo vya dola.
 
Hakuna mtu wa kushindana na JPM,isipokua kwa kua wengine wako kwenye kutafuta maisha wapate chochote kwenye ruzuku, acha waendelee kujitafutia
 
Hatuwezi kupata jambo lenye manufaa kutoka kwa kibaraka wa lumumba kama wewe zaidi ya kusifia
 
Reactions: BAK
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao...
Hata mimi nikwambie tu ukweli kwamba una ukipofu na hauoni chochote cha maana
 
kosa la mama ni kutomung'unya maneno tu.

watu kwa stress za kujua ushindi kwenye uchaguzi mwaka huu ni mdogo sana, kuna wabunge 3 tu kambi rasmi,basi wamemua kujifariji na mapicha hayo.

kama leo hii DAB kageuka dume la mbegu, hakuna maajabu utaacha kuyasikia chadema.
 
Kwani nani kasema DAB dume la mbegu? Hata kuchezea mzigo tuu ni kashfa. Mbona tunachokozana tuseme? Shauri yenu!
 
Mfikishieni salamu kuwa akaombe asameheme dhambi ya unafiki kwanza.
Juzi hapa kaongea ujinga mkubwa sana na muambieni maja wewe umeonyesha unafiki na kwa sisi Waislamu tunaamini umeootoka rudi hadharani ukaombe msamaha.
 

Nyinyi ndiyo wale mlioongezwa na bashiri kwenye ile list ya buku 7?

Jipangeni basi angalau muwe na hoja.

Hizi zingine za kujidanganya wenyewe hazina tofauti na kutega kunguru chambo maharage makavu.
 
Reactions: BAK
Namuangalia Membe ndio anamalizia kuingizwa ward ya watu wenye uangalizi maalumu (ICU)akiwa kwenye machela.

Lissu yeye ndio anachechemea ulingoni, kwakeli Anko Magu anashambulia pande zote kwa ustadi mkubwa kila kitu kimepangwa kikapangika ukiangalia ratiba zake tu utaligundua hilio.

Kwanza ndie mgombea atakaefikia watu wengi ukiangalia kuanzia usafiri wake mpaka crew yake nzima anayoongozana nayo ,
utagundua nyuma yupo manager kampeni aliyeisomea hii shughuli.

Ukirudi kwenye suala la sera utagundua ndio sera zinazo uzika na kutekelezeka kwa uraisi na ndizo zinazomgusa mwananchi wa daraja la mwisho, ana onyesha unyenyekevu na wala haombi kura kwa huruma ,bali kwa yale aliyokwisha kuyafanya na anayotaka kuyafanya kipindi kingine cha miaka mitano.

Kila nikimuangalia Membe pumzi zimeshakata mapema kila nikimtafuta hapatikani kwenye simu akipatikana kachanganyikiwa na kichwa kinamuuma kwenye jua kwa kupigwa na jua bila wasikilizaji ,aliyemuingiza chaka zitto kamkimbia anaona anatoa pesa yake mfukoni, wakati yupo CCM hakuzoea kutoa mfukoni mwake hili limekua tatizo kubwa kwake, anataka kubwaga manyanga lakini anaona aibu jinsi gani alijigamba na hii aibu na fedhea hajui ajifiche wapi.

Huyo Lissu mmmh yeye anapuyanga tu watu wanajaa kwenda kumshangaa kwa vile kawaambia ana risasi ana tembea nayo mwilini watu wanafikiri wataiona lakini kwa sera hana kwa sababu zote hazitekelezeki na ni ndoto za alinacha maziwa kutoa mabomba .

Yeye anamshambulia Magufuli binafsi badala ya kumwaga sera inaonyesha jinsi upepo wa Magufuli ulivyowaelemea
Magufuli ni habari nyingine ni heavy weight candidate amewaelemea wote na ataibuka na ushindi wa kishindo tayari kukamilisha miaka mitano mingine

NB;HATULIPI MATUSI TUNALIPA MAENDELEO kama mnabisha tukutane jamhuri siku ya kuapishwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ni kale kale kajoni!

Safari kwenye jopo la kampeni!
 
Pumzi yake anaijua disii wa kiss a rawe banaa!
 
alisema ukweli askari wa tanzania hawezi kupiga risasi 30 mtu mmoja asife hao ni wahuni tu walikodiwa na wadeni wa lissu msimuone lissu kama mtu safi sana ana yake yanayomfanya kuwa na maadaui wengi kama hivyo waka mtwanga risasi
 
Mkiwa hamna hoja,kuweni wasomaji tu!Kwa utopolo huu hata mataga wenzako watapita kushoto! Unaanzisha uzi kwa ajili ya mipasho utasema hili ni jukwaa la taarabu,shame!
 
Masikini ya Mungu, yaani hapo na wewe unajiona umepandisha thread? Njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…