Nimeamini kabisa kuwa ccm sasa imebakia midomoni tuHata Tanga, Rahaleo, Tashrif, Ratco (kabla haijafa), Simba Mtoto na mabasi mengine mengine mengi , hata malori mbona ndiyo huwa kazi yao ya kukusanya watu. Wanajua fika kuwa wamekataliwa, hivyo hukusanya watu. Wakimaliza huwa wanawatelekeza uwanjani !
Kama ukitaka kwenda kwenye mkutano unalipa nauli yako au usafiri wako unakwenda, siyo lazima ulipiwe na chama, hiyo ni rushwa tuSasa watu wanaokuja kwenye mikutano ya kampeni ulitaka watembee kwa miguu?, Mfano mie nakaa ubungo kuwe na mkutano kimara nitembee kwa miguu ili nigundue nini ?
CCM inahali mbaya ipiiiii, maaaana sioni wapinzani wowotee, wapinzania wa CCM asilimia kubwa wako wananadi KIKI badala ya kunadi sera zao.Aisee CCM na JPM wao wana hali mbaya sana. Si bara si Zanzibar.
Kwa hali niliyoiona leo Zanzibar kwenye mkutano wa Lissu ni dhahiri CCM lazima wanyooshe mikono mwaka huu!
Sasa ni wazi!! Uchaguzi wa kihistoria Tanzania ni mwaka huu!
Mtajua hamjui mwaka huuCcm inahali mbaya ipiiiii, maaaana sioni wapinzani wowotee, wapinzania wa ccm asilimia kubwa wako wananadi KIKI badala ya kunadiiii sela zao.
100% una maana hata wagombea wenzake watampigia kura?shule mlisomea nini kwa kweli?Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Wamelipwa kusema uongo ili matokeo yakitoka washindwa wakimbie kushitaki kwa mabwana zao.Kipigo chenu hakiepukiki mpaka mpoteane.Ccm inahali mbaya ipiiiii, maaaana sioni wapinzani wowotee, wapinzania wa ccm asilimia kubwa wako wananadi KIKI badala ya kunadiiii sela zao.
Neno chama cha mapinduzi limetokana na mapinduzi yaliyopelekea umwagaji damu kule Zanzibar na mkakati wake ulikuwa kuifuta kabisa Zanzibar kama nchi ili iwe kimkoa tu ndani ya TanzaniaCha msingi ni kuachia tu wengine watawale tuone tofauti
Hakuna mwaka chadema wamekosa mgombea kama kipindi hikiiii.Wamelipwa kusema uongo ili matokeo yakitoka washindwa wakimbie kushitaki kwa mabwana zao.Kipigo chenu hakiepukiki mpaka mpoteane.
Hivi ndio hali mbayaTukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.