Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mcheki Faizafox na uzi wake kuhusu hicho unachotaka tujadili. Kila kitu kipo huko.
 
Inafanana na mitusi mliyokuwa mkimtukana EL?
Waliozunguka Tanzania nzima na mihelocopita wakimwita fisadi, Si mlikua nyie wenyewe?

Waliokaa pale mwembe yanga waka muweka kwenye ile list of shame, simlikua nyie wenyewe?

Unafikiri watu wamesahau?
 
Mcheki Faizafox na uzi wake kuhusu hicho unachotaka tujadili. Kila kitu kipo huko.
Watu mtakuaje nafuraha, hukumkishinda mitandaoni kazi hamfanyi?

Watu mtakuaje na furaha nawakati wazazi wenu wamefukuzwa kazi kwa vyeti fekii?

Watu mtakuaje na furaha nawakati madili yamezuiliwaaa?

Watu mtakuaje na furaha nawakati lango lenu kuuu la kupitishia dawa za kulevya limefungwaa?

Watu mtakuaje na furaha na wakati vya dezo havipooo?
 
Ndio maana mzee baba anapaniki kila uchao
Na watu kule twitter hawamkopeshi, wanampa makavu ile kinoma na kwa majina halisi, sio fske names wala anonymous!
 
Upatikanaji wa Dawa Mhimu 42%(2015) 94.5% (2020)
Maji safi vijijini 47%(2015) 70% 2020
Maji safi mjini 74%(2015) 85% (2020)
Pato la mwananchi 1.9 mil (2015) 2.4mil (2018)
Idadi ya Viwanda 52633(2015) 61110(2020) ongezeko la 16.1%
JPM 5+
Jpm 5+
Jpm 5+
 
Ndio maana mnataka kuua upinzani,bila Lissu kuwabana mbavu hizo ajira 13,000 kipindi hiki cha kampeni zisingepatikana!
 
JPM tena 2020✓

Kuna mtu anataka kulia hapa, akiona jinsi Hesabu zake za kupata miburunguti ya midolla kutoka somewhere zinavyoyeyuka Kwa Kasi na kila uchwao wananchi wakizidi kumzodoa Kwa agenda zake za kuwakabidhi wananchi Kwa mamba asiye na huruma!!

Magufuli Selema.

Yalija!
 
Mpinzani wa CCM ni ccm wenyewe! ili kue na upinzani mzito lazima mgombea upinzani atoke ccm , bila hapo tunaenda mpaka 2100, mtajipa moyo sana lakini ata akisema asiendelee na kampeni ana ushindi mzito kwahio mwache atekeleze wajib tu
ugoro-ugoro-ugoro
 
Huko huko Tweeter JPM anapewa za uso sana,nenda kasome comments!Lakini pia imeanzishwa Poll huko,JPM kagalagazwa vibaya mno!

sehem pekee iliokua imebaki ya lissu ni jamii forum na uku tayar tushajielewa hatuna mda wa hio saccoss, youtube lissu chali, twitter nako chaliii, jamii forum nako tumeingia sasa
 
sehem pekee iliokua imebaki ya lissu ni jamii forum na uku tayar tushajielewa hatuna mda wa hio saccoss, youtube lissu chali, twitter nako chaliii, jamii forum nako tumeingia sasa
Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!
 
Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!

poll si ni october wacha porojo, mtafutieni usafiri uyo mwanamke wa belgium arudi kwao, na tena alisema ndege hazina umuhimu arudi na baiskeli kama anaongea viitu venye maaana
 
Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!
Ha ha ha eti muweke Poll, ili Missile of the National, Return of the Undertaker na My Son Drink Water wapige kura na waje wajitekenye eti jamaa kapata kura nyingi humu! Teh teh teh teh mna vituko, humu Kuna watu mna ID kumi kumi yunawajua mjue!
 
Hamkosagi visingizio!
 
poll si ni october wacha porojo, mtafutieni usafiri uyo mwanamke wa belgium arudi kwao, na tena alisema ndege hazina umuhimu arudi na baiskeli kama anaongea viitu venye maaana
Jifunze kuandika kwanza,rudi shule bado hujachelewa! Pia huwa sijibizani na watu wa aina yako, badala ya kuongea hoja unalepa mipasho na matusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…