Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Hawana ujanja huo hawa jamaa, angalia mama Samia na PM bila wasanii ni weupe kabisaBashiru alisema "hakuna msanii atachukuliwa katika kampeni za ccm 2020" lakini hali imekuwa tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana ujanja huo hawa jamaa, angalia mama Samia na PM bila wasanii ni weupe kabisaBashiru alisema "hakuna msanii atachukuliwa katika kampeni za ccm 2020" lakini hali imekuwa tofauti.
Mcheki Faizafox na uzi wake kuhusu hicho unachotaka tujadili. Kila kitu kipo huko.Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri
jf
Waliozunguka Tanzania nzima na mihelocopita wakimwita fisadi, Si mlikua nyie wenyewe?Inafanana na mitusi mliyokuwa mkimtukana EL?
Watu mtakuaje nafuraha, hukumkishinda mitandaoni kazi hamfanyi?Mcheki Faizafox na uzi wake kuhusu hicho unachotaka tujadili. Kila kitu kipo huko.
Na watu kule twitter hawamkopeshi, wanampa makavu ile kinoma na kwa majina halisi, sio fske names wala anonymous!Ndio maana mzee baba anapaniki kila uchao
Hapo sasa. Kiburi si maungwanaUkiwa na kiburi huwezi kujua unapokosea,kiburi kinakutawala mpaka unawaona wanaokukosoa ndio wenye makosa
Ndio maana mnataka kuua upinzani,bila Lissu kuwabana mbavu hizo ajira 13,000 kipindi hiki cha kampeni zisingepatikana!Mbona hizo ajira kila bajeti, huwa zinatoka? Mwezi juzi madaktari wameajiliwa hukusikia?
Kwa hiyo Mimi nimgoogle huyo jamaa yenu, Si afadhali nitumie bando kumgoogle membee. Maaana nikiharibu bando langu kumgoogle jamaa yenu, nitakutana na speech ya mitusiii adi tajuta.
ugoro-ugoro-ugoroMpinzani wa CCM ni ccm wenyewe! ili kue na upinzani mzito lazima mgombea upinzani atoke ccm , bila hapo tunaenda mpaka 2100, mtajipa moyo sana lakini ata akisema asiendelee na kampeni ana ushindi mzito kwahio mwache atekeleze wajib tu
ugoro-ugoro-ugoro
Huko huko Tweeter JPM anapewa za uso sana,nenda kasome comments!Lakini pia imeanzishwa Poll huko,JPM kagalagazwa vibaya mno!
Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!sehem pekee iliokua imebaki ya lissu ni jamii forum na uku tayar tushajielewa hatuna mda wa hio saccoss, youtube lissu chali, twitter nako chaliii, jamii forum nako tumeingia sasa
Daah![emoji23]Nilijuuuuaaaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Raha ua ule mwili unamkabidhi mwanaume[emoji39][emoji39]...mwili ule unamkabidhi mtu Kama Bashite au mwanamke mwenzako?? Kwendraaaaa
Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!
Ha ha ha eti muweke Poll, ili Missile of the National, Return of the Undertaker na My Son Drink Water wapige kura na waje wajitekenye eti jamaa kapata kura nyingi humu! Teh teh teh teh mna vituko, humu Kuna watu mna ID kumi kumi yunawajua mjue!Weka Poll uone JPM anavyogalagazwa!
Hamkosagi visingizio!Ha ha ha eti muweke Poll, ili Missile of the National, Return of the Undertaker na My Son Drink Water wapige kura na waje wajitekenye eti jamaa kapata kura nyingi humu! Teh teh teh teh mna vituko, humu Kuna watu mna ID kumi kumi yunawajua mjue!
Jifunze kuandika kwanza,rudi shule bado hujachelewa! Pia huwa sijibizani na watu wa aina yako, badala ya kuongea hoja unalepa mipasho na matusi!poll si ni october wacha porojo, mtafutieni usafiri uyo mwanamke wa belgium arudi kwao, na tena alisema ndege hazina umuhimu arudi na baiskeli kama anaongea viitu venye maaana