Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

UPUUZI MTUPU!

 
Habari ya mujini kwa sasa ni Lissu tu
 
Kama mmeshindwa kabisa kutengeneza nyuzi nzuri za propaganda tangazeni tenda watu waingie kazini...hayo uliyoandika hapo watu wamechoka kuyasikia maana kila anayekuja na uzi mambo ni hayohayo
Ndiyo ujue kuwa kila uzi unao pandishwa hapa jamvini kusifia Jiwe basi umeandaliwa na Chakubanga ila anaye uleta hapa jamvini ni sawa na mesenja tu.
 
Hana uwezo wa kuongeza mishahara kuanzia nchi ipate uhuru mfanyakazi hajawahi kudhalilika kama wakati huu??? Yan hata wakati wa vita ya kagera JKN aliongeza mishahara
Wastaafu wanakufa bila viinua migongo so lampsum wala monthly pension hali ni mbaya
Kama huna bima ya afya kama watumishi inakula kwako dawa hakuna hospitali
Ukabila ukabila ukabila udin udinudin
Ajira sasa ni miaka mitano sio mwalimu sio nani kakuna kazi
Shule za msingi vijijini walimu wawili watotio 600
Upendeleo upendeleo upendeleo wa kikanda
 
MAGUFULI4LIFE.
 
Ungeweka na makorokoro yake maana naona ndio yanatuchefua kuliko hata huo ugirigiri mwingine sijui wa elimu bure.
 
Hakuna mtu ninayemuona hajielewi hapa duniani kama aneyeongelea elimu bure, kama hujazunguka sehemu mbalimbali na kuona hali za baadhi ya shule ndio utakuwa wa kwanza kuropoka mambo ya elimu bure.

Hiyo elimu bure inamsaada gani kwa taifa wakati mazingira ya kusomea watoto ni ya ovyo ovyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…