Kweli Hawa niliwasahau aisee Tena ndio walitakiwa wawe pale juu kutokana na umuhimu wait kwa Jamii.3. Watumishi wa Dini
Labda Kama watz wote cc ni taahira ila kwakuwa tunaakili timamu CCM itaondolewa tuuuuuuuu.Nyie hangaikeni na mikakati yenu ya kutaka kuchukua nchi oktoba ! Japo hamuwezi!! , achaneni na msipimane ubavu na CCM!
Mnaindoa kwa mikakati ipii? Upinzani bado sana kuingo'a CCM hamjitoshelezi ki rasilimali fedha na watu! CCM wana uhakika wa kura 8M kutoka kwa wanachama wao , nyie mnazo ngapi? Msijipe matumaini bure tu!!Labda Kama watz wote cc ni taahira ila kwakuwa tunaakili timamu CCM itaondolewa tuuuuuuuu.
Low iqMnaindoa kwa mikakati ipii? Upinzani bado sana kuingo'a CCM hamjitoshelezi ki rasilimali fedha na watu! CCM wana uhakika wa kura 8M kutoka kwa wanachama wao , nyie mnazo ngapi? Msijipe matumaini bure tu!!
Jibu hoja wewe mwenye high IQ!Low iq
Kwahiyo unanunua ndege ili kutoa ajira kwa mapilot au?Utawamaliza wote?Hebu tuambieni hizo ndege zimepiga route zipi na kwa mafanikio kiasi gani tokea zinunuliwe!si unaona akili zenu sasa, kwamba sisi tanzania kazi yetu kuwanufaisha pilots wa nchi zingine si ndio? hawa wa kwetu wafanye nn? opportunity ipo, watalii wapo, tuuze izo ajira kwa wengine si ndio?? uko timam kichwan?
Zipo hapo airport hata kusogezwa sijui kama hua zinasogezwa, kila siku ziko hivyo hivyoKwahiyo unanunua ndege ili kutoa ajira kwa mapilot au?Utawamaliza wote?Hebu tuambieni hizo ndege zimepiga route zipi na kwa mafanikio kiasi gani tokea zinunuliwe!
Kwanini mnazuia CAG asitie pua huko ATCL wakati ni shirika la umma na linapaswa kukaguliwa ili report iende bungeni?
Hao mapilot kama ni competent,wangeweza kupata ajira kwenye mashirika binafsi yanayooperate hapa nchini!Sio lazima serikali inunue ndege ili wapate ajira!!!
Dreamliner moja ni zaidi ya mara 3 ya bajeti ya kilimo kwa mwaka mzima ambapo sekta hii hutegemewa na zaidi ya 70% ya watanzania!Hapo hapo bado pesa inayokwenda kwenye kilimo ni chini ya 40% ya bajeti!Hiyo ni akili au matope?
Kwahiyo unanunua ndege ili kutoa ajira kwa mapilot au?Utawamaliza wote?Hebu tuambieni hizo ndege zimepiga route zipi na kwa mafanikio kiasi gani tokea zinunuliwe!
Kwanini mnazuia CAG asitie pua huko ATCL wakati ni shirika la umma na linapaswa kukaguliwa ili report iende bungeni?
Hao mapilot kama ni competent,wangeweza kupata ajira kwenye mashirika binafsi yanayooperate hapa nchini!Sio lazima serikali inunue ndege ili wapate ajira!!!
Dreamliner moja ni zaidi ya mara 3 ya bajeti ya kilimo kwa mwaka mzima ambapo sekta hii hutegemewa na zaidi ya 70% ya watanzania!Hapo hapo bado pesa inayokwenda kwenye kilimo ni chini ya 40% ya bajeti!Hiyo ni akili au matope?
Jumlisha crew nzima,huwezi kusema unatengeneza ajira kwa kununua ndege!!Sio signficant kabisa maana ni watu wachache wanaonufaika!WTF! nmekupa mfano tu mbuzi wewe, kwan unadhan ndege znaajiri pilots tu? how about engineers? how about air hosts? to mention a few! ndege its a must for any sovereign state, huezi endesha nchi hauna usafiri wa anga, nkupe mfano! umeona iki kipindi cha corona, watanzania waliokua wamebaki china unajua walifuatwa na ndege gan? that 1
2. ndege ni usafiri wa haraka, sio kila mtu ni mkulima hii nchi, wewe hauezi endesha nchi ya wakulima tu! kuna watu wanataka usafiri wa haraka kufanikisha mambo yao, we unawaza kilimo tu! na lazima ujue ndege ni expensive duniani kote and thats how economics are, unaweza zaliwa maisha yako yote usipande ndege na mwingine anaweza akawa anaishi angan miaka yake yote! hata tundu lissu anatumia ndege kuhakikisha anawahi mikoa tafaut kufanya kampeni! no comment on that
3. izi porojo mnaongea tokea miaka ya 90 tushawaskia na tushwachoka! ndo maaana hata wanachama wenu wenyewe wanawahama wapuuzi nyie
Jumlisha crew nzima,huwezi kusema unatengeneza ajira kwa kununua ndege!!Sio signficant kabisa maana ni watu wachache wanaonufaika!
Kwa mazingira na uendeshaji wa ndege,ni mzigo kwa serikali!Jiulize kwanini CAG amezuiwa kukagua ATCL?Usafiri wa anga sio lazima wewe kama serikali ndio umiliki ndege za biashara,unaweza kuvutia makampuni na wakaleta ndege zao kuoperate!Hapa ajira zinapatikana lakini pia unakuwa hujaathiri uchumi!Mzunguko wa fedha uko chini nchini kwa miaka hii 5 ni kutokana na fedha nying kutoka kwa walipa kodi kwenda kwenye makampuni ya nje!Taarifa ya mabank inaonesha uwezo wa watanzania kukopa na kurejesha mikopo umeshuka,hii ni kutokana na ukata wa fedha hivyo uwekezaji kwenye vitega uchumi unakuwa mgumu kuleta matokeo chanya na kwa wakati!Hii yote ni athari ya kuendea miradi mikubwa kwa pupa ambayo inachukua fedha nyingi!Kwahiyo nilipotolea mfano kilimo hilo ni eneo moja tu!
Nakushangaa eti kufuata wananchi china nayo ni hoja kwanini ndege ni muhimu,akili yako inachekesha!Hilo hata wewe unapaswa ujicheke kwa kuliweka kama hoja!
Je,tumejifunza nini kwa nchi kama Kenya,Rwanda na Ethiopia ambao wametutangulia kuwekeza kwenye ndege?Tunasikia wanapata hasara na serikali ndio zinabeba huo mzigo!Sisi hatujui uhalisia wa hizi ndege zetu,mpaka sasa zimetuingiza hasara kiasi gani?
Kwa mazingira yaliyopo,manunuzi ya ndege zote hizi hayakuwa sahihi!
Daaah!!!!!1.hakuna sehem atcl imeripoti hasara, na hakuna sehem wanatoa takwim za mapato ya atcl so be genuine!
2. miradi ya serikali sio lazima itengeneze profit, as long ni serikali inaweza kua huduma kama huduma zingine!
3. get your facts right, hata kama serikali itafanya miradi yote tanzania nzima hakuna sehem pesa ztaenda nje ya nchi, hakuna mtu anatrade na tsh globally, tsh sio global reserve currency! all tsh znaishia apa apa tz, at the end of the day money is only exchanged as depts, so umeongea pumba!
4. hata kama CAG akikagwa and report losses it doesnt change anything kwa sababu usafiri wa anga ni muhimu at all costs
5. kipindi atcl ina ndege moja cdm ndo walikua wanaotoa kelele sana kuhusu ili shirika! then what happend after zmenunuliwa?