Wilaya hizo si za Wasukuma angeongea lugha gani na chekechea, wanafunzi, walimu na wananchi wamwelewe ili siku ya siku ikifanya wamchague kwa kishindo? Lugha imempiga chenga!Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM alizuru Mkoa wa Mara kwa ajili ya kampeni zake lakini hakuweza kufika Wilaya za Tarime, Rorya na Serengeti ambayo siyo kawaida yake...
Daaah!!!!!
1,3&4 >Wewe hustuki kutokuwa na taarifa zozote juu ya ATCL?Hizi ndege hata zikiwa zimepaki bado ni gharama kubwa kuzitunza!Usafiri wa anga ni muhimu ila usiseme at all cost!No way,sio lazima serikali ndio iwe mmiliki wa usafiri wa anga!Kama ni mzigo basi sekta binafsi ziachiwe zifanye kazi!Hapa ndio dhana nzima ya ubinafsishaji inapokuja,serikali ni vigumu kufanya biashara!Zaidi itatoa huduma na hapa ndipo hasara huanzia!Ndio yaleyale ya UDA na mwendokasi!

3>Wewe ndie umeongea pumba!Wakulima wanapouza mazao yao nje lets say korosho,serikali huingiza fedha za kigeni!Sasa kama pesa hii yote unaenda kulipa kwa mkupuo kwenye makampuni ya nje,maana yake unapunguza uwezo wako wa kununua bidhaa kutoka nje! Pesa ambayo ingetumika kuboost maendeleo ya watu inakuwa inaenda nje moja kwa moja!
Wakati ilipaswa % kubwa ifanye shughuli zenye kuongeza mzunguko wa ndani!Miradi kama usambazaji wa umeme ni miradi ambayo ina tija kwa maana ya ajira,vitendea kazi na resources kwa kiwango kikubwa hupatikana hapa hapa nchini lakini pia mradi unaoenda kugusa maisha ya wengi!
5>Hayo ya Chadema waulize wao, usiniulize mimi!
Hakuna mahali nimesema pesa yetu kwa maana tsh tunapeleka nje,hapo umenisingizia uongo!Ninasema tunapeleka nje in terms of foreign currency!Na hapo ndipo BoT inapoingia!Sisi tunapeleka tsh sawa na thamani ya mradi/bidhaa na wao wanatoa kwenye reserve ya pesa za kigeni na kulipa!Kwa maana hiyo BoT ndio inakuwa imeshikilia fedha na pesa hiyo inakosekana kwenye mzunguko!economics una 0 mpaka apo! hakunaga pesa inaenda nje ya nchi, trades zinafanyika as depts, hata ukiuza mazao nje millions of millions hakuna pesa inaenda nje because lazima irudi kwenye mzunguko, hakuna nchi nje ya tanzania inatrade na tsh country to country and it can never happen, the money unaskia imepatikana kutokana na mauzo ya nje hua znaingia as depts from another country, in economics hua tunaiita negative asset! izo pesa zote unazoskia zingeweza kua znatoka from tsh tungebaki na 0tsh nchi nzima maaana mzunguko wote wa pesa ungeisha!
skulaumu maana economics hauelewi,
Hakuna mahali nimesema pesa yetu kwa maana tsh tunapeleka nje,hapo umenisingizia uongo!Ninasema tunapeleka nje in terms of foreign currency!Na hapo ndipo BoT inapoingia!Sisi tunapeleka tsh sawa na thamani ya mradi/bidhaa na wao wanatoa kwenye reserve ya pesa za kigeni na kulipa!Kwa maana hiyo BoT ndio inakuwa imeshikilia fedha na pesa hiyo inakosekana kwenye mzunguko!Kwa maana hiyo mpaka tupate tena bidhaa za kuuza nje,mfano korosho au tupate watalii na walete fedha za kigeni,ndio hapo BoT wanabadilisha zile tsh kuwa reserve ya fedha za kigeni!Kumbuka kuwa wakati huo BoT inakuwa imeshikilia fedha tsh hivyo pesa hiyo kukosekana kwenye mzunguko!
So unapaswa kuelewa,ninaposema kodi ya wananchi inakwenda kulipa miradi mikubwa makampuni ya nje sina maana ya tsh!
Hoja nyingine naona umezielewa!

Hold on there na twende taratibu hapo!Mfano kampuni ni kutoka China,imetekeleza mradi hapa Tz!Unasema tunawaambia china wachapishe pesa wailipe hiyo kampuni!So China wanafidiwaje hiyo pesa waliyoilipa hiyo kampuni?BOT haishikilii tsh, inashikiliwa FOREIGN RESERVES ambazo ni usd$, na hizo hazitumiki kufanya exchange yoyote ile, the main use of it ni kubackup tsh ikiyumba, if you sell something outside you dont give the other country your currency but unaiamuru hio nchi ingine ichapishe pesa mpya impe aliekuuzia, in modern times its just easy as typing digits into a computer! tsh inarudi kwenye mzunguko kwa sababu haiwezi trade outside borders za tz
The reason foreign reserves ni $$ its because its the global exchange currency lakini there are some central banks that holds Gold instead of usd, mfano china, russia, afganistan and cuba hawana central bank, in tz a central bank ni kama BOT! they use GOLD as there foreign exchange just incase ela ya nchi ikiyumba then they will be used to back it up, nadhan umeelewa somo
Hold on there na twende taratibu hapo!Mfano kampuni ni kutoka China,imetekeleza mradi hapa Tz!Unasema tunawaambia china wachapishe pesa wailipe hiyo kampuni!So China wanafidiwaje hiyo pesa waliyoilipa hiyo kampuni?

Hapo sasa tuko pamoja!Unakumbuka juu ya sakata la EPA?Ni kwamba serikali ilikuwa ina madeni ya nje,hivyo EPA account ikafunguliwa BoT!Kuna mtu wangu wa karibu ambaye baba yake alinufaika alinielezea namna alivyonufaika na pesa hizo kisheria na akabaki salama!Alikwenda nje ya nchi na kutafuta kampuni zinazoidai serikali,akaenda kununua madeni kwa bei rahisi kisha akaja na nyaraka BoT na pesa akalipwa tsh!Kwa mantiki hiyo kuna fedha ilikuwa BoT kwa ajili ya madeni hayo!Kwa namna yoyote ile fedha kwenye mzunguko iliathirika kwa pesa hiyo kukumbatiwa tu BoT!Kumbuka BoT haifanyi biashara bali huwa inakopesha mabank kwa riba nafuu kama huduma tu!BOT will have to issue something called IOU ( An IOU is a document that acknowledges a debt owed. In business, accounts receivable may be informally called IOUs. ), then alot of banks watagombania kupewa hio IOU then atakaebahatika kupewa hio IOU , atampa huyo aliekuja na hio IOU pesa kwenye account yake, mind you hio IOU kuna profit banks wanapata! then thats how money is created on the other side, that IOU remains as a legal document that unaidai BOT, serikali ikuuza nje then na wenyewe watapata IOU kuashiria kuna sehem wanadai, and that how money makes it way to the economy hakuna any movement of money just digits typed
Hapo sasa tuko pamoja!Unakumbuka juu ya sakata la EPA?Ni kwamba serikali ilikuwa ina madeni ya nje,hivyo EPA account ikafunguliwa BoT!Kuna mtu wangu wa karibu ambaye baba yake alinufaika alinielezea namna alivyonufaika na pesa hizo kisheria na akabaki salama!Alikwenda nje ya nchi na kutafuta kampuni zinazoidai serikali,akaenda kununua madeni kwa bei rahisi kisha akaja na nyaraka BoT na pesa akalipwa tsh!Kwa mantiki hiyo kuna fedha ilikuwa BoT kwa ajili ya madeni hayo!Kwa namna yoyote ile fedha kwenye mzunguko iliathirika kwa pesa hiyo kukumbatiwa tu BoT!Kumbuka BoT haifanyi biashara bali huwa inakopesha mabank kwa riba nafuu kama huduma tu!
Ninachosema hapa sio movement ya tsh kwenda nje,bali pesa kuwa mahali ambako mzunguko wake hauwafikii wananchi hasa kama fedha hiyo ni nyingi!Mfano tumenunua ndege,fedha ambayo tungepata kwenye korosho inacover deni la ndege!Huoni hapo kodi ya wananchi imeenda kulipa madeni na kupunguza mzunguko kama ambao ungekuwepo tungekuwa hatujaingia kwenye madeni?